Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,354
- 25,460
Siku hizi makamanda wamekuwa wavivu kuchangia mada zinazowahusu. Sijui wamezira au vipi. Hii imetokea baada ya msomi wao nguli Tundu Lisu kujikanganya kwenye suala la makinikia.Uzi toka saa nne hata page moja bado?? Jamaa kweli hakubaliki.