Mada moto chanel ten: Sakata la makinikia, Dr Mashinji ni mgeni rasmi

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,169
mgeni rasmi ni katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Ndg Mashinji yupo LIVE sasa Karibuni.
 
Kuna mikataba mingi mibovu, ya Loliondo n.k, hawa wote walipita mlangoni sio dirishani
 
Jamaa kamtandika muandishi wa habari leo maana kila akipapatua miandishi kumtoa nje ya mstari lkn mashinje anamrejesha
 
mgeni rasmi ni katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Ndg Mashinji yupo LIVE sasa Karibuni.
Katiririka vizuri sema hakubali kukosolewa ila kiufupi yuko vizuri hatamwishoni alipomalizia kipindi alitoa ushauri mzuri kwa rais
 
Tofauti ya mashinji na wenzake ni utulivu ni mwanasiasa wa kweli haropokiropoki hovyo kama wenzake hapendi masifa.
Soon uropokaji will eventually jump out of him, we ngoja tu! Uropokaji upo ktk dna ya chadema!
 
Kweli mashinji hakubaliki

Angekuwa dkt. Slaa ,sasa hiv huu uzi ungekuwa page ya 300+
Lakin kwa mashinji ni page ya 2


KWELI CHADEMA KINAKUFA KIFO CHA MENDE
 
Back
Top Bottom