Swali zuri na lenye lengo sahihi.Una uhakika hii mada inahisiana na WAZINZI 🤣
Tunajua rushwa ipo, sasa ni kuikabili. Kwanza kila mtendaji au afisa wa serikali awape wananchi taarifa juu ya kusudio la kuanzishwa mradi na hata asipofanya hivyo kila mwananchi afuatilie kupata taarifa zaidi za miradi