Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.
IMG_20191105_192125_6.jpeg
 
Jamani mimi nina tatizo la kutapika sana asubuhi baada ya kunywa vodka ama gin ama brandy yoyote usiku. Yani nikiamka asubuhi natapika hadi damu wakati mwingine, mwanzoni sikuwa na hili tatizo, yaani hata nikichanganya na bia bado naumwa yani kuna siku nashindwa hata kuamka. Kuna mtu ameshawahi kutana na hii kitu? Tunaishindaje?
Ilishawahi nikuta ila nikawa nakula nashiba full na maji mengi ndio naweka vyombo saivi namkaga siumwi kabisa Tena asubuhi mapema kabisa nakazia na mtori vyombo vinaanza tena
 
Back
Top Bottom