Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,252
- 88,186
Konkii
😂😂😂😂 mzee baba unatisha 😂😂😂😂
Iko njema katibu... Kazi yetu ni kujenga heshima popoteKuna kazi natumikishwa lkn kazi na dawa mwenyekiti ...... bdo napnga kuhusu location
Ova
View attachment 992453
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbsa wanywaji sisi ni wachapa kazi kisikijiIko njema katibu... Kazi yetu ni kujenga heshima popote
Jr
Location?
Jr[/QUOTE
Mpo wapi.jamN
Niko Sinza halafu . Ngoja nimwambie shemeji ako audacious akuyeEeenh
Msalimie shem wangu kipenzi hahahahha
Weèeee. Kuna Sauna hapo? Bei yake? Nikapate joto na mie maana nasikiaga tu sauna sauna sijawahi jaribuHahahahaa jana nilikua nefaland hahhahahaa shikamoo sauna
Manzese hyoooHahahahaa jana nilikua nefaland hahhahahaa shikamoo sauna
Weèeee. Kuna Sauna hapo? Bei yake? Nikapate joto na mie maana nasikiaga tu sauna sauna sijawahi jaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha ameshafika
Buku ten? Muda wangu sasa kwenda kuonja hiyo wallahHhahabaa ipo kule juu..buku ten..acha kbs mAmito..nenda aisee