Mkuu naona unashusha 'juice ya mawe' mdogo mdogoMore pain more gain
#viva ValeurView attachment 1535307
Ndugu wamenieka kikao eti niache pombe nkawaambia mbona mimi situkani wala kufanya vurugu wanasema eti wananiurumia najilipua sana mwili wangu....Mkuu naona unashusha 'juice ya mawe' mdogo mdogo
Ndugu wamenieka kikao eti niache pombe nkawaambia mbona mimi situkani wala kufanya vurugu wanasema eti wananiurumia najilipua sana mwili wangu....
Serengeti zimetosha jamaniKiu kali, japo nipige hizi nipate na usingizi mzuri..home homeView attachment 1535299
Aliyegundua mchanganyiko wa Serengeti na K_vant nampa saluteSerengeti zimetosha jamani
hizi bia jamani ukute sasa vimejazwa juu ya meza nahisi ni mm tu ndio sinywiAliyegundua mchanganyiko wa Serengeti na K_vant nampa salute
Faida yake ni kwamba hazina hangoverhizi bia jamani ukute sasa vimejazwa juu ya meza nahisi ni mm tu ndio sinywi
kumbe ndo mana wanaziogelea sanaFaida yake ni kwamba hazina hangover
Hii ni early weekend celebrations mkuu
Maana naitwa jina uitwalo, na ninakunywa hadi now unywachoHii ni early weekend celebrations mkuu
What a coincidence bloo hahaha cheers thenMaana naitwa jina uitwalo, na ninakunywa hadi now unywacho
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Cheers bro, one love broWhat a coincidence bloo hahaha cheers then
Location safi ndani ya ifakara
Uyu mnyama nikimmaliza yaani kama vile naziita stimu,!yaan najitia nyege tuh!labda viwili au vitatu..namkubali k-vant.More pain more gain
#viva ValeurView attachment 1535307
Long time ifakara nazani 2008!Location safi ndani ya ifakara View attachment 1536128
Bar mpya hii 2008 zamani sanaLong time ifakara nazani 2008!
Bar gani mkuu!?