Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,634
- 8,046
Exactly what [emoji108][emoji108][emoji108]Atiiiii.....View attachment 1500516
Exactly what [emoji108][emoji108][emoji108]Atiiiii.....View attachment 1500516
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Atiiiii.....View attachment 1500516
We mzee zeeka vizur, kuna pombe isiyo na kilevi?Isiyo na kilevi[emoji848][emoji144][emoji30]
Hebu njoo Texas Bar, Goba mwisho tujadili kiundaniWakuu Jana nimepata aibu sana mtaani' daa nilikua napiga konyagi maeneo ya mtaani gafla unga zi ukazidi maji, si nikateguka mguu mara chini puuu na nikashindwa kuamka, daaa basi jama mmoja akaja kuniokota na kunisindikiza home, kwa wife full kuyumba , yani wapangaji wote awaamini aisee, nimejifungia tu ndani naona aibu kutoka.
Naombeni msaada naachaje pombe
Vipi incharge?Dah...!!!
Tunakuwakilisha usikondeNiko kwenye dozi
Penyewe mkuuMhm hapa sio Picha ya ndege kweli?
Jr[emoji769]