Mada maalum kwaajili ya wanawake

Mada maalum kwaajili ya wanawake

elyza

Senior Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
155
Reaction score
329
Wakuu habarini za weekend,

Nimekuwa na kitu kinanisumbua sana moyoni mwangu.

Mimi kama specialist wa magonjwa ya wanawake ninawiwa kuanzisha mada maalum kutoa nafasi kwa mtu yoyote kuuliza swali juu ugonjwa unaohusu mwanamke. Au kuomba ushauri wowote juu ya afya ya mwanamke.

Najua kuna jukwaa na JF Dr. Lakini miimi ningependa mada hii iwe kwenye jamvi hili kwasababu maalum.

Lakini kabla ya kuanzisha ningependa kupata maoni yenu kwanza.

Lengo nikusaidiana katika kutatua matatizo yetu kama wanawake maana tuna changamoto nyingi sana.

Nitajisikia kutiwa moyo kama ntapata kibali cha wengi.

Naomba kuwasilisha.
 
Tuko pamoja! anzisha chaap nina maswali kibao tu
 
KWA kweli ni jambo zuri ALLAH akuzidishie kher
 
let me subscribe for my wife and daughter ili niweze kuwapa ushauri pindi napoulizwa maswali magumu juu ya miili yao kabla ya kwenda kwa daktari. asante mkuu
 
Fungua Blog ya kwako utafanya vyema zaidi. Usisubiri Mod apitie vitu vyako aridhike ndo apost. Jitegemee utafanya vizuri na watu watakutafuta popote ulipo.
 
Fungua Blog ya kwako utafanya vyema zaidi. Usisubiri Mod apitie vitu vyako aridhike ndo apost. Jitegemee utafanya vizuri na watu watakutafuta popote ulipo.
Hata hapa atapata wafuasi members Na guests watamtafta riziki popote
 
Back
Top Bottom