Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Iliwahi onyeshwa apo st novela na niliiangalia mpaka mwisho labda iyo channel unayosema ndio wanaionyesha sasa hiv
 
Yeah...

Nimeanza kuiangalia 2001....kuna wakati inanipita mwezi au miezi miwili...nikirudi naanzia nnapoikuta...no stress
 
Yeah...
Nimeanza kuiangalia 2001....kuna wakati inanipita mwezi au miezi miwili...nikirudi naanzia nnapoikuta...no stress
Ndio raha ya Isidingo,mie kuna muda huwa naacha kidogo kuangalia kama story ya wakati haijanivutia na baadaye naendelea. Kuna muda isidingo kama ilipoa fulani hivi basi akarudishwa Pastor alikuwa hayupo pale HD,basi ilikuwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…