Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

Aisee hatari sana
Jamani mimi kadri siku zinavyoenda nakosa hamu kabsa na hapo kati, nakuwa sijisikii kabsa tofauti na mwanzo nilivyokuwa, nilikuwa napenda wanawake kupita kiasi lakini siku izi nakuwa kama nawaonea kinyaa fulani.

Labda tu niuseme ukweli, nilikutana na mdada fulani siku za nyuma,tulijuana kwa mda mfupi kidogo nikamuomba papuchi akatiki na tukakubaliana kupima kabla ya tendo, ila hiyo siku gambe likachukja nafasi yake na matokeo tukaenda kugegedana bila kujuana afya.

Kesho yake asubui nikajua wazi kuwa nilichokifanya kipo nje ya ibara, sasa nikamwambia tukapime japo mambo yalishatendeka, holaleee yule mdada akakutwa positive bwana, aisee nimemeza yale mavidonge sijui yanaitwa PEP yani nimeishi kwa shida sana ndani ya siku 30,

Kwa kweli kila Nikitazama mwanamke sipati hisia kabsa,tuweni makini jaman, pia nina jamaa yangu na yeye ni mtu wa totozi sana na mpiga kilaji, alinitembelea majuzi kati ila nikabaini kuwa anameza ARv ,nilishituka kidogo harafu yeye jamaa hana hata wasi wasi, unajua zile dawa mtu akizishika nakuanza kufungu utajua tu hata awe amekupa mgongo, kale kakopo kake kanasauti fulani pamoja na vidonge vyake.
 
Kuna kipindi npo arusha nilkuwa napenda bar tofaut tofaut hata kunywa maji ili niwaone hawa watoto,na bar za arusha wanajtahid kuweka watoto wazur,ningeendelea kukaa arusha ningeoa barmed,maana nilkuwa nikiwa nao walkuwa wananizoea sana mpaka wanaacha kazi

Mkuu una nyota ya mabaamedi
 
Sema mie nikianzaga kunywa uwa nawaheshimu

Zikinikolea kichwani tu,naanza kuwadharau...

Yaan maumbile yao yote wakati huo naanza kuyamiliki na kuyafanya nitakavyo

Akipita mwenye tako kubwa lazima nimshike shike sambwanda

Akipita mwenye chuchu nzuri hazitoki salama,lazima nizivute vute

Akipita mwenye lips nzuri,lazima nizibusu

Akipita miguu minene na mapaja manene,uyo lazima nimpime oil na kidole

Ila tu sijawahi kulala nao nikishalewaga..
 
Sema mie nikianzaga kunywa uwa nawaheshimu

Zikinikolea kichwani tu,naanza kuwadharau...

Yaan maumbile yao yote wakati huo naanza kuyamiliki na kuyafanya nitakavyo

Akipita mwenye tako kubwa lazima nimshike shike sambwanda

Akipita mwenye chuchu nzuri hazitoki salama,lazima nizivute vute

Akipita mwenye lips nzuri,lazima nizibusu

Akipita miguu minene na mapaja manene,uyo lazima nimpime oil na kidole

Ila tu sijawahi kulala nao nikishalewaga..
Wazee wa kupima oiliii
 
Tatizo sio wakweli. Wanakukalisha hadi saa8 unapiga stori na mlinzi ukimpigia simu kameshakutoroka na kichwa kingine

Mungu anawaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka Bar maid asikuzingue , dau la kwanza atakalokuambia usibishe. Na ukifanikiwa kwa mara ya kwanza basi hatakusumbua tena.

Hawa viumbe huwa wananipa raha sana.

Halafu ukishampata mmoja ni vyepesi mno kumpata mwingine. Wana tabia ya kusimuliana mazuri wanayokutana nayo huko. Unawezajikuta unatafuna watatu au zaidi.

Sasa mm cjui kutofautisha kati ya baamedi anaejiuza na yule asiejiuza, naogopa nikienda Kwa gia ya kumnunua, hlf aniambie kuwa hajiuzi, si itakuwa noma SK2016
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom