Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

Ukitaka Bar maid asikuzingue , dau la kwanza atakalokuambia usibishe. Na ukifanikiwa kwa mara ya kwanza basi hatakusumbua tena.

Hawa viumbe huwa wananipa raha sana.

Halafu ukishampata mmoja ni vyepesi mno kumpata mwingine. Wana tabia ya kusimuliana mazuri wanayokutana nayo huko. Unawezajikuta unatafuna watatu au zaidi.
 
Mkuu uzoefu wako nimeuelewa
 
Na siku hizi hakuna tofauti ya dada poa na hawa wanaoishi kwa wazazi wao,, yaani hakuna mwanamke mwenye mpenzi mmoja

Kama unahisi kwa wadada poa kuna UKIMWI komaa na hawa wa mtaani uwe unawagonga pekupeku bila kinga uone kama utaukwepa UKIMWI

UKIMWI ni bahati mbaya tu kuupata ila hata wadogo zetu walioko vyuo, nyumbani na huko makanisani hawakatai mwanaume me naishi nao
ha ha ha kuna msemo unasema k ni k tu,haijalishi inafanya kazi gani
 
Jamani mimi kadri siku zinavyoenda nakosa hamu kabsa na hapo kati, nakuwa sijisikii kabsa tofauti na mwanzo nilivyokuwa, nilikuwa napenda wanawake kupita kiasi lakini siku izi nakuwa kama nawaonea kinyaa fulani.

Labda tu niuseme ukweli, nilikutana na mdada fulani siku za nyuma,tulijuana kwa mda mfupi kidogo nikamuomba papuchi akatiki na tukakubaliana kupima kabla ya tendo, ila hiyo siku gambe likachukja nafasi yake na matokeo tukaenda kugegedana bila kujuana afya.

Kesho yake asubui nikajua wazi kuwa nilichokifanya kipo nje ya ibara, sasa nikamwambia tukapime japo mambo yalishatendeka, holaleee yule mdada akakutwa positive bwana, aisee nimemeza yale mavidonge sijui yanaitwa PEP yani nimeishi kwa shida sana ndani ya siku 30,

Kwa kweli kila Nikitazama mwanamke sipati hisia kabsa,tuweni makini jaman, pia nina jamaa yangu na yeye ni mtu wa totozi sana na mpiga kilaji, alinitembelea majuzi kati ila nikabaini kuwa anameza ARv ,nilishituka kidogo harafu yeye jamaa hana hata wasi wasi, unajua zile dawa mtu akizishika nakuanza kufungu utajua tu hata awe amekupa mgongo, kale kakopo kake kanasauti fulani pamoja na vidonge vyake.
 
Mimi sijui hata hivyo vidonge vinakaaga wapi kwenye blister au wapi? .. Wewe umejua hadi kamlio ka vile vidonge? Umetisha ila Hutakiwi kushangaa ngoma ipo na ipo kwa ajili ya binadamu na tena inakaa Kwa watu na sio miti.

Ukiona jamaa yako anao ujue "you are nex" kwa sauti ya Bolo yanki. Ahahahaha!

See you!
 
Kuna kipindi npo arusha nilkuwa napenda bar tofaut tofaut hata kunywa maji ili niwaone hawa watoto,na bar za arusha wanajtahid kuweka watoto wazur,ningeendelea kukaa arusha ningeoa barmed,maana nilkuwa nikiwa nao walkuwa wananizoea sana mpaka wanaacha kazi
 
Hahahah nawewe sio wa mambo mengi ni maji tuu lakini wakakuzoea
Kuna kipindi npo arusha nilkuwa napenda bar tofaut tofaut hata kunywa maji ili niwaone hawa watoto,na bar za arusha wanajtahid kuweka watoto wazur,ningeendelea kukaa arusha ningeoa barmed,maana nilkuwa nikiwa nao walkuwa wananizoea sana mpaka wanaacha kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom