Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KweendaaaaNiadd basi mpendwa wangu katika bwana
KweendaaaaNiadd basi mpendwa wangu katika bwana
Mshana asante kwa huu uzi jamani. Leo mejifunza mengi sana!
Wanandoa naomba mkalee ndoa sasa! Hapa sio salama tena kwa afya ya ndoa zenu




mbona unatufukuzaSiwezagi kabisaaa jamanii...
Hahhaha toka lini umekuwa muoga
Sadaka muhimu kwakweli, nikitoka hapo napitia amarula kutuliza koo.Hahahhah mama mchungaji huyu kiboko


Kwahiyo hutaki kabisaKweendaaaa
Kabisa, kadri unavyopanda kikubwa ndivyo utakavyovuna.Hahaha hahaha hahaha hahaha. Tupande mbegu kabisaaa eehh
Nendeni kwenye ndoambona unatufukuza
Sadaka muhimu kwakweli, nikitoka hapo napitia amarula kutuliza koo.![]()




mama mchungaji anakunywa amarula apate hamu sijui atakulwa na nani huku kwenye ndoa kakimbiaSitaki ndiwoooKwahiyo hutaki kabisa
Ndoa inaweza kukunyoso hadi ukarukwa akili. Na ukikumbuka ulikopwa pia ndio uchungu maradufu.ile nusu uchizi
Kwa nn lakini unanibania etiSitaki ndiwooo
Kama namuona alivyomsonya huyo askari kimoyomoyokuna polis alimchamba had aibu nikaona mm..alimsema direkt..akasema ht mkeo aseme ana semina ya miez 2 ht ukerewe huko ana haki ya kwenda
![]()



Ndoa inaweza kukunyoso hadi ukarukwa akili. Na ukikumbuka ulikopwa pia ndio uchungu maradufu.






Mi nakutamania, Ila ungeonja ndoa japo kidogo ingependezaYaani sina jinsi kabisa....
More than total desperate full depressed na stress Mia Mia kila siku nyuzi za Mahaba hadi natia huruma....
Maskini Kasinde wanna JF wanamsikitikia na kumuonea huruma looh.