Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Jamani mane

😂😂😂 nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa😂😂😂..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia😑😑😢😢😢..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman😂😂😂..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi😢... !
 
Em usiongee sana hapa mane, ukipata kamuda uje tu pm tubonge. Kuachana sio rahisi kama tunavyoandika humu.

nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi... !
 
We utaweza kweli jembe langu? Si kwa huruma hiyo uliyonayo . Nakuelewa lakini mane wangu
 
We utaweza kweli jembe langu? Si kwa huruma hiyo uliyonayo . Nakuelewa lakini mane wangu

demi jana sijalala..hahaa had saa6 ananitxt..anatia huruma...anaomba msamaha tu...anapiga simu ila sirudi demi...sema watoto wananifanya nilie kweli kweli..😂😂nikitoboa nitakupitisha nilipopita😂😂..shoga kuna ugumu..alafu naambiwa eti ww hyo age huez kaa alone lazima utaolewa tena😑😑😑napata kichefuchefu
 
FB_IMG_15473423891583111.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom