Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,301
Duuu pole mamito😂😂😂😂 yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi🤔...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria😂😂ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao👎😢😢😢..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha😂😂alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1😂😂😂😂👎👎👎..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..

...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria

