Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Yaani
mesikia kulia ujue!
Yaani
Pande za kwao hakuna ya chogo, wote ni flat screen ukiona ya chogo jiulize mara mbili mbili
Sent from my iPhone using JamiiForums




...flat ni machame/ palestinaIsije kuwa jamaa now hana kazi halafu analeta kibezi kwa wifeDah unanyata kwa mkeo? Sipati picha jamani![]()



...lazima ule konzi haahaaOk mkuu. Pole sanaNo, hizo ni changamoto ndogo ndogo sana na zinavumilika, kama nilivyosema kubwa humu ni kazi kuziweka wazi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaa umenichekesha Witness eti kama manyaunyau wakati mwingine wanatuona sisi wakorofi lakini sio kweliNimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track
Utaendeshaje gari halina bima ya laki halafu unaenda kuspend 120, 000...full kuendesha usiku kama manyaunyau
Jamaa jipuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeoa bahati mbaya au kwa kupata sifa.. mwaka mmoja unaongea utumbu kama huu. Dunia simamaMkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa
Sent from my iPhone using JamiiForums





Karma haimuachagi mtu salamaMaskini..madhara ya kumkimbiea ex hayo


Sasa ilikuaje ukaoa flat wakati huipendi.Pande za kwao hakuna ya chogo, wote ni flat screen ukiona ya chogo jiulize mara mbili mbili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni funika bovu....ila mara nyingi wa hivi hutumia madawa kinomaDah huyo kiboko
Kweli lkn hatuwazi kufaHiyo haina guarantee asee...Kuna kufa pia ukumbuke na sio lazima ufe uzeeni
Sent using Jamii Forums mobile app
AhaaaaaahaaaaaaaHaya yanatokea sana, hasa unapokuwa na mke mwenye makelele. Japo wapo wale wanaofaidi ndoa yani kabla ya kwenda kazin unapata kiss na wishes kibao za hiyo siku + kurekebishwa tai, pande za huku ni hatari unazuga zuga mara akija kushtuka haupo
Sent from my iPhone using JamiiForums



....mkuu samahani hujaoa kajitafakari tena!Wee acha....Kuna wanaume wanateseka sana aseeYaani
mesikia kulia ujue!
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.Haya yanatokea sana, hasa unapokuwa na mke mwenye makelele. Japo wapo wale wanaofaidi ndoa yani kabla ya kwenda kazin unapata kiss na wishes kibao za hiyo siku + kurekebishwa tai, pande za huku ni hatari unazuga zuga mara akija kushtuka haupo
Sent from my iPhone using JamiiForums


namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuuUnafikiri siwaelewi shost...wanaume wanapenda sana sympathy lkn ukija fatilia wao ndo wa kwanza kuharibu ndoa zao...haki most of men ni scavengers, nimeyaona na nayaona aseeHahahaaa umenichekesha Witness eti kama manyaunyau wakati mwingine wanatuona sisi wakorofi lakini sio kweli
Kuna ukilema, magonjwa kuna kukimbiwa yote haya yanamtokea/ tumeumbiwa binadamu mimi na weweKweli lkn hatuwazi kufa
Wewe tena manengelo..poleMimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaanamjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu






Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri
😂😂 asante