Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Na yeye anakuja kulalamika eti ana changamoto kwenye ndoa, nahisi hajawahi kukutana na changamoto huyu. Na angepata mke slay queen asiyejua kuprioritize mambo angekuja kulalamika tena.Kabisa ...she's so correct, kama jamaa anamchukia wife wake kwa maushauri kama haya atakuwa na kasoro si kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app






...hebu concentrate na mada mkuu
