Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,566
- 31,992
Na kuna watu hawajawahi kula nao bado wanakufa tu kwa magonjwa na madhaifu yale yale.
Nadhani walaji wale na wasiokula wasile.mbona kuna mambo mengi yenye madhara magonjwa, sex,sigara,pombe n.k kuna kufa kwa ajli pia.
Nadhani walaji wale na wasiokula wasile.mbona kuna mambo mengi yenye madhara magonjwa, sex,sigara,pombe n.k kuna kufa kwa ajli pia.
Mada za kitomoto zimekuwa nyingi sana.
Nadhani sisi tusiokula tuache tu wanaokula wale, hakuna tunachopungukiwa.
Maana kuna watu toka wamezaliwa wanapiga na hawajawahi pata madhara.