OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,013
- 114,360
Mwandishi anasema aliingiwa na simanzi akiona watu wakipoteza mwelekeo wa akili wakiwa hawaamini kinachojiri.Watu hawakuarifiwa.Watu walipatwa taharuki.wabomoaji walibomoa na vitu vikiwa ndani.Video inawekwa hapa wajane wanalia.Prof.Mihayo anasema haukuzingatia utu,the methodology was poor