Mad max: Naipenda sana hii movie

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
FRD-DS-00253.0.JPG
 
My wives my property
You stole my wives .

Hahahhahahahhaah
That's my favorite line in that movie .
I have to say best movie 2015 for me -:)
siyo 2015 tu. jamaa wameshaiweka kwenye list ya one of the best action movies of all time.
 
Huu mtambo ni shida, niliuzimia balaa, HorsePower 1200 si mchezo.

HorsePower 1200? Hiyo ni balaa!!!!!!
Kuna sehemu kwenye movie wakati wana fukuzwa na wale jamaa wa piki piki ilibidi ashushe ile ngao chini ili kutimua vumbi na kuwapoteza. Halafu alipo iinua ngao chuma ikatokezea huku imefunga zile pua za super charger na akazifungau tena nikaisikia kabisa machine iikipumua mpaka nywele zili nisimama. Ile muvi kwa 3D ni hatari yani EMPEROSA FURIOSA ametisha sana!!!!!!
 
alishusha ile chuma ili kuzima moto.
 
Hahahahaa, mkuu upo vizuri., ngoja nidownload 3D version yake niicheck kwa glass.
 
Hii movie ni Kali mno,kati ya movie zilizonilonga ni hii na kingsman (secret service )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom