machungu

Ahsante sana wengine tukianza kuelezea mikasa yetu hapa, patakuwa hapatoshi ila ahsante sana ikiwa na mimi ni mmoja wao.Mungu akubariki
 
Hakuna kazi kubwa kama kutongoza. mbona sijaona ukiwapa hongera waliotongoza wakawini.?.. lol.
 
Du jamani ndo kwanza nimejiunga nanyi leo yani najisikia kama nimezaliwa upwa
napenzwa na niliyoyakuta, machungu ni njia mojawapo ya mapito ya dunia siku njema
wote
 
Karibu sana Jingofresh! Jisikie upo jamvini.
 
Ni shahidi wa thread hii. Hata mi nimepata relief sana kwani I felt the compassion. Thanks all, Dena thanks much.
 
Hakuna kazi kubwa kama kutongoza. mbona sijaona ukiwapa hongera waliotongoza wakawini.?.. lol.

Siyo wote wanaopata kazi ngumu. Inategemea huyo uliyemtongoza ka-shortlist wangapi na cv alizonazo mkononi. Kama sehemu kuna salary nzuri na fringe benefits za kufa mtu tegemea kazi kupata hiyo kazi.
 
mmmhhh kwa kweli lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom