Machungu ya kukosa ajira

Kabisa ni ufala Sana mtu unapoteza 20+ godamn years kwenye academics halafu uje uwe muuza karanga barabarani ni us£nge WA Hali ya juu Sana ,No way
Ndio maana mwisho wa siku wasomi wengi wanaishia kubaki nyumbani. Inakwaza sana kupoteza muda mwingi kwenye kusoma halafu uje uangukie kwenye umachinga kukimbizana na askari barabarani huku ukivurugwa na sera mbovu za wanasiasa wanaojitafutia cheap popularity, au vitu ambavyo ungeweza kufanya hata kwa form four yako yani mwisho wa siku unajikuta unatafuta kazi hata miaka saba!
 
Unamaliza zako chuo fresh unarudi home..inaanza USB inakufa, sendo zinaisha, simu inaanza kuzingua, nguo zinaisha, buku ya vocha tu kuipata inakuwa kisanaga, yule demu wako wa chuo anakuacha, kunyoa ndevu kila week inakuwa mtihani, ghafla unampa mimba mwanafunzi[emoji119]
 
Inaonyesha una experience nzuri sana usingejua yote haya[emoji38][emoji38]
 
Nouma sana kaka
 
Daaah
 
Daah kmmake ilishanikuta hali hii nilikondeana kama Bomba la bendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…