Machungu ya kukosa ajira

Mmmmh hapana... Wewe sio jobless hata kidogo. Wewe hutaki kufanya kazi. Hela za bando kujiunga mitandao yote hio ya kijamii na kuangalia porn unazo Ila za kijibiashara kidg huna.una hela Hadi za kutafuta madada poa lakin unalalamika huna ajira. Em tuache tusio na ajira tucomment. Ambao tunaweka kabando ka jero kila tunapopata hio jero ili tupatekuchungulia nafasi za kazi zinazotoka
 
Mkuu ukisema hivyo unakosea, hivyo ni kwa uono wako unadhani issue ya kujiajiri ni ndogo, kumbuka hela yenyewe mtu unayopata ni ya kusaidiwa imagine mtu unapewa 5k au 10k per week tena mpk ufikiriwe na ndugu, kwa kiasi hicho utaweza kujiajiri vipi? Au unawaskiliza sana motivational speaker mie nimeshaachana nao, maisha hayana formula waliofanikiwa hawatakwambia siri ya uhakika wa kufanikiwa kwao just watataka ukijue kile wanachopaswa wao ukijuwe basi(siri ya mafanikio yake ipo moyoni mwake).

Na kuhusu kuchukua madada poa hii inatokea tu stress zimekuzidi, kwani hawa dada poa wa uswazi wanazidi 5k au 10k kwa show time??
Na tena sio kwamba ni ada uwachukue, bora mie nliesema ukweli wangu isijekuwa na ww ni konko kwenye sekta hiyo 😂😂

Au hata kama huchukui madada poa lazima kitakuwepo kidem unachokihonga licha ya ujobless ulokuwa nao (au tuliokuwa nao), kinyume cha hivyo bado hujarudisha kadi ya chama katika chama pendwa CHAPUTA 🖐️
 
Ukweli mtupu...yaani ujobless ndio unatupelekea kwenye chaputa au kununua dada poa maana hawa wengine mtaani wanakukwepa kama ukoma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jobless tunamengi Sana yanatukumba daah tunapambana Sana Ila mwisho wa siku Hera ya kuhonga kila siku tunakosa alternative Ni kwenda kupiga tu wale wa chap 5k unamwaga zako na kupunguza stress
 
Kipindi ndio nimetoka chuo ilikuwa hazipiti siku mbili tatu tunatoka na mzee tunaenda sehemu tunapata mtori safi au supu. Hafanyi kitu bila kukufahamisha.

Baada ya kuchokana, ilifikia sehemu hata akisafiri taarifa unaipata ile asubuhi akiwa anakuaga. Omba Mungu tu wakati anasafiri na mke wake store kuwe na nafaka kidogo za kukusogeza mpaka atakaporudi na mfukoni uwe njema kiasi laa sivyo sio tu utalala njaa, bali hadi giza litakuandama[emoji16][emoji16]
 
Yani hata msosi aachi.
 
Kuna jamaa yangu namjua

Kamaliza Chuo mwaka 2014 kasota mtaani miaka 7 anatafuta ajira za serikali.

Kaja kupata mwaka Jana.

Just imagine kaja kuajiriwa ana miaka 30.

Na Kila mwaka alikuwa alikuwa anaomba hajawahi achana.

Kama ipo IPO kikubwa consistency na maombi.
 
Wenyewe wanasema kila mtu ana wakati wake hata kama utakaa miaka kumi, kikubwa tusichoke kupambana!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…