mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Mkuu sekondari siyo tena sehemu ya kwenda kuanza kumshikia mwanafunzi kalamu au kumfundisha namna ya kuandika speling! we unajua jumla ya topic za masomo yote ya kidato cha kwanza? na mwalimu anachukua dk ngapi kwa kipindi kimoja? huo mda wa kuanza kumfundisha tena mwanafunzi kuandika spellings atautoa wapi wakati alitakiwa awe tayar ameshafahamu akiwa huku primary! kama ndiyo hvyo basi hamna haja ya kuwa na primary school
Spelling za masomo ya sekondari nyingi hazipo primary, masomo ya science hususani. Ni jukum la mwl kuhakikisha mwanafunzi anaelewa hivo