Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!
Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?
Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!
Kwa Kweli Kama Hali Ndio Hii Mwakani Naacha Kazi Ya Ualimu.Watoto Hawawezi Kuandika Kiingereza Kabisa.Wamefauluje Kuja Sekondari,nimefundisha Topic Na Kurudia Mara Nyingi,wapo Waliopata A na b na c pia.kuna kundi kubwa la waliofeli hadi mtu anapata 12,18,4,yani Nimelia Kwa Kuona Mtu Badala Ya Kuandika Legs Anaandika Leges,process-presse,before-bifore,stone-ston,monkey-mankey,fire-firs,kwa Kweli Kwa Namna Hii Sijui Wanafauluje Watu Kama Hawa.Waalimu Wenzangu Nitumie Njia Gani Mana Kuandika Hawajui Na Mimi Sylubus Haina Sehemu Ya Kufundisha Watu Kusoma Na Kuandika.Nimetumia Kila Njia Ila Madogo Baadhi Hawaelewi Kitu.
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi
Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!
Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?
Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!
Hivi kweli spelling waje kufundishwa sekondari??? nini maana ya kuwepo shule za msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la 7???
huyu mwalimu amfundishe spelling ama "History"??
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi
Ni Kweli Mdau,manake Mtu Unajitoa Mda Wako Na Unawakusanya Wao Pekee Uende Slow Na Unatumia Hadi Swahili Lakini Tatizo Ni Kubwa Manake Hawana Idea Na Means Of Communication.
Ukiwa kama mwalim inabidi ufanye jitihada ili uondoe hii hali, sasa mwalim unalia lia hao wanafunzi wafanyeje??

kwahiyo walimu hata huko chuo waliposoma napo waliofeli ndiyo walipewa nafasi ya kuja kufundisha??
kwahiyo wewe "uliyefaulu" (japo nina mashaka) ulifundishwa na aliyefeli na ukaweza kufaulu??
Naomba Wadau Muelewe Kua Wanafunzi Hawa Hawafeli Katika Masomo Yangu Tu.Nimejitathmini Ninavyofundisha Najiamini Kua Nimeiva Vizuri.Nilichofanya Nimeaandika Majina Ya Wanafunzi Waliofeli Sana Na Kwenda Kwa Walimu Wa Masomo Mengine Nao Wanasema Washawazoea Na Hawana Solutions Juu Yao.Sasa Nimelileta Kwa Walimu Wenzangu Tupeane Mawazo.Kama Wewe Sio Mwalimu Najua Utaniponda Kua Me Ni Mzembe Na Sijui Kufundisha.Ila Najua Wapo Walimu Walio Na Matatizo Kama Haya Na Watanipa Abc Ili Nisaidie Hawa Vijana Wasiojua Kusoma Na Kuandika,nb Sekondari Hatufundishani Kusoma Na Kuandika Mana Mda Ni Limited.Na Hiyo Ni Kazi Special Kwa Waliosomea Shule Za Msingi Kwa Walimu Wa Madarasa Ya Awali.