Machozi Yamenitoka Nikimark Midterm

Machozi Yamenitoka Nikimark Midterm

Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!

Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?

Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!

Kuwa mzalendo wanzio wanapiga hela
 
Pole sana mkuu hizo ndiyo changamoto za kazi, hili tatizo lipo sana hususani kwenye hizi shule za kata. Mimi kuna mkoa flani nimesoma a'level yani madogo wa kidato cha pili hata kuandika majina yao hawawezi....sasa wamefaulu vipi na wamefika vipi hapo walipofikia mimi na wewe hatujui.
 
Unakuta Hata Idea Ya Kumark Huioni.Hata Awe Na Wazo Akosee Spellings Unampa Alama.Unakuta Hajui Chochote,mfano Unamwambia "define Homo-sapiens Anajibu Is The First Phase Of Early Stone Age.Na Unakuta Anachukua Maneno Ya Maswali Mengine Na Kuyapachika Ili Aotee Jibu
 
Pole sana mkuu hizo ndiyo changamoto za kazi, hili tatizo lipo sana hususani kwenye hizi shule za kata. Mimi kuna mkoa flani nimesoma a'level yani madogo wa kidato cha pili hata kuandika majina yao hawawezi....sasa wamefaulu vipi na wamefika vipi hapo walipofikia mimi na wewe hatujui.

Jamaa Angu Anamark Geography Form 3 Analalamika Sana.Mtu Anapata 4% sasa inakua majanga
 
Nadhani BUMIJA kaja na mada nzuri tu ambayo ndio tatizo kwa wanafunzi wengi wa shule zetu za upili na niliposoma mwanzo wa mada nilijua labda michango itakayokuja ndio sehemu ya suluhisho lakini imekuwa ni kujibizana ila sishangai kwani hayo ni matokeo ya wengi waliomo humu,ubishi tu.
Kama mfumo wetu wa kufundishia utakuwa ni mbovu basi naamini kunalo suluhisho ambalo hata kama mfumo uliopo ndani ya vitabu utakuwa mbaya kiasi gani mwalimu atakuwa na uwezo wa kufundisha na asilimia kubwa ya wanafunzi wakaelewa kile wanachofundishwa.
Jibu lipo na kila mmoja analo.
Kuwa mwalimu ni suluhu tayari ya kufanikiwa bila hata ya mfumo wa kitabuni.
ukitafakari kwa makini,utaelewa na maana gani ,tufungeni mikanda.
 
Last edited by a moderator:

Ni Kweli Kaka Mana Me Nahitaji Ushauri,ubishi Hautatui Tatizo Langu.IThought Education Forum Could Be The Right Place For My Problem,perhaps Is The Forum Of Frustrations And Dis Solutions.
 
Last edited by a moderator:
Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!

Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?

Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!

Kwahiyo sekondari ndio wafundishwe kuandika?? Huko Primary walikuwa wanafanya nini?? Wamefauluje?? Sasa hapo lofa nani??
 
Kwa Kweli Kama Hali Ndio Hii Mwakani Naacha Kazi Ya Ualimu.Watoto Hawawezi Kuandika Kiingereza Kabisa.Wamefauluje Kuja Sekondari,nimefundisha Topic Na Kurudia Mara Nyingi,wapo Waliopata A na b na c pia.kuna kundi kubwa la waliofeli hadi mtu anapata 12,18,4,yani Nimelia Kwa Kuona Mtu Badala Ya Kuandika Legs Anaandika Leges,process-presse,before-bifore,stone-ston,monkey-mankey,fire-firs,kwa Kweli Kwa Namna Hii Sijui Wanafauluje Watu Kama Hawa.Waalimu Wenzangu Nitumie Njia Gani Mana Kuandika Hawajui Na Mimi Sylubus Haina Sehemu Ya Kufundisha Watu Kusoma Na Kuandika.Nimetumia Kila Njia Ila Madogo Baadhi Hawaelewi Kitu.

Wewe Sylubus? Inaonesha ni wa zao lilelile la vodafasta! ----!
 
are real a teacher by professional??? mtoto kukosea spelling za lugha ya kigeni ni jambo la kuleta uzi hapa??
sikatai wapo wasio na uwezo kabisa lakini kwa maelezo yako hapo unamaanisha ni kama ulijua wanafunzi wote IQ zao ni sawa na kubwa nooooo? ndio maana kwenye education psychology ulisoma how to handle active & slow learners mkuu,

teaching methodology and media should strictly depend on students learning ability, interest, n.k
jitahidi mkuu, tatizo waalimu wa .com hawaangalii kutumia mbinu mbadala kuwasaidia watoto kazi kulalamika tuuuu, japo huwezi wafaulisha wote kutokana na kuletwa wengi wenye uelewa mdogo but waalimu tuache uzembe kazi kama tulivyofundishwa vyuoni hatufanyi then tunalamika wanafunzi hawafaulu alaaaaahhh
 
It shows you are teaching in BRN style coz BRN means Brain receives nothing. YOU KNOW
 
Na akiingia lowasa na elimu yake ya bure hali ndo itakua mbaya zaidi
 
Mwanafunzi huandika/hukopi like alichoandika mwalimu wake.jitathimini kwanza kabla ya kuwashambulia wanafunzi.Tafuta namna uende chuo cha ualimu ufundishwe mbinu sahihi za ufundishaji.
 
Naona wengi mmemjibu. Kiukweli huna sifa ya kuwa mwalimu. Hupaswi kutangaza mambo ya wanafunzi, unawavunja moyo. ningekuwa mwajiri wako ningekufuta kazi
 
Bro Ninatumia Mda Wa Ziada Sana Na Hadi Weekend.Ila Hawajui Kuandika.Bro Kuleta Uzi Huu Hapa Ni Ili Nipate Mawazo Zaidi Mana Nimetumia Njia Zote Nilizofundisho Diploma Na Katika Degree Ya Elimu.
Kukosea lugha hata sisi twakosea.angalia mifano hii.mda-muda,mana-maana,nilizofundisho-nilizofundishwa,degree ya elimu-shahada ya elimu.Tuwalaumu wanafunzi tuu?
 
"Koments" ni neno la kiingereza au kisukuma, wewe ni wale walimu wa division 5 halafu unabwabwaja eti una honours ya UDSM. Kama ni hivyo nimekudharau wewe na hicho chuo.
daahhhh!!!!jamaa anajifanya fund huyo.huenda ukakuta ana F ya kiingereza.inabidi mamods waweke sheria kla mtu avatar yake iwe CHETI CHA 4M 4&6
 
are real a teacher by professional??? mtoto kukosea spelling za lugha ya kigeni ni jambo la kuleta uzi hapa??
sikatai wapo wasio na uwezo kabisa lakini kwa maelezo yako hapo unamaanisha ni kama ulijua wanafunzi wote IQ zao ni sawa na kubwa nooooo? ndio maana kwenye education psychology ulisoma how to handle active & slow learners mkuu,

teaching methodology and media should strictly depend on students learning ability, interest, n.k
jitahidi mkuu, tatizo waalimu wa .com hawaangalii kutumia mbinu mbadala kuwasaidia watoto kazi kulalamika tuuuu, japo huwezi wafaulisha wote kutokana na kuletwa wengi wenye uelewa mdogo but waalimu tuache uzembe kazi kama tulivyofundishwa vyuoni hatufanyi then tunalamika wanafunzi hawafaulu alaaaaahhh
mwl bumija msamehe buree huyu jamaa.inaelekea hajawahi kukutana na wanafunzi kama wako.
 
daahhhh!!!!jamaa anajifanya fund huyo.huenda ukakuta ana F ya kiingereza.inabidi mamods waweke sheria kla mtu avatar yake iwe CHETI CHA 4M 4&6

Anakosoa Tu Hapa Hatoi Msaada
 
Back
Top Bottom