ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Pengine inawezekana mmoja kati ya hawa akawa serious kuliko mwingine, wengine wanadia eti Mhe. Rais yeye anapochukulia mambo"simple" kwa kuzuia kujipa presa anaangua kicheko kiasi kwamba baadhi ya wananchi wake wakasikika wakisema eti Rais Hayupo Makini,
Lakini eti, Mhe. Waziri Mkuu yeye anayaona yote mazito sana, na ni nadra kwake kuchekacheka na ikibidi kuonyesha yupo "serious" kwa wanachi wake anaweza hata kutoa chozi.
Hata hivyo, bado inaonekana kwa staili zote za uongozi, mambo mengi ni kama hayaendi vile yanavyotakiwa kwenda,..bado wananchi wao wanazidi kuumia..