Machozi ya wanawake ni laana jamani

buzbuz

Member
Feb 26, 2016
18
12
Habari wana jf...
Nimekaa nikijaribu kufanya uchunguzi hatimaye nimegundua haya.mm nimeoa pia Nina miaka name sasa.
Huwa Nina tabia ya kukasirika na mda mwingine kupiga kabisa hata kitu kosa kidogo tu hivyo hupelekea kumkera mke wangu na mke wangu Julia sana bila kumjali.
Nikachinguza siku ninapofanya aya lazima nipate shida, ya kifamilia au ya kikazi,mda mwingine na kuwa na msongo wa mawzo hata kufikia kutaka kugongana na magari nikiwa njian.
Toka nlipogundua haya najifunza kujizua sana Hali zangu na naishi maisha ya furaha tele....naipenda ndoa yangu
Tafadhali wanaume chukueni hatua..

Nawasilisha
 
Nina miaka 3 sijawahi mpiga mke wangu. Kualipiana kupo na nikawaida hamuwezi kuishi bila hata kupishana kidogo. Ukiona ndoa hampishani hata kidogo basi hiyo ndoa inashida tena ni jipu. Na kwa kweli i live a happily life with my family. I love you my wife Regina
 
Hongkwa kulijua hilo....

Kwa kuongezea...ni aibu mbaba mtu mzima unatumia maguvu yako kumpiga mkeo wakati nyumba imezungukwa na majani...heri uchukue jembe ukalime
Aise ni hatari sana kuishi na mke ndani bila kumpiga. Na mapenzi ya kiafrika bila kipigo hayaendi na mke humtawala mumewe.
 
Aise ni hatari sana kuishi na mke ndani bila kumpiga. Na mapenzi ya kiafrika bila kipigo hayaendi na mke humtawala mumewe.
Ndugu ni mwanaume asiyejiamini tu anaweza kuwaza haya....... hauhitaji ngumi ili mkeo akuheshimu au kukupa nafasi yako.......

Matendo yako yatakufanya uheshimike...hizo nguvu za kumpiga bora ukalime mchicha wanao wapate chakula bora
 
Matendo yako such as..? Anyway sishabikii kumpiga mwanamke na wala sijawahi kufanya hilo. Lakini kumjadili mwanamke kama "malaika" haibalance mizani. Kuna mambo tunayaona huku mitaani mpaka tunajiuliza kama baadhi ya wanawake ni binadamu kweli.

Ndoa ni kufana, na hakuna ndoa moja inayofanana na nyingine. Hiyo ni theoretical tu.

Tujiepushe kuwapiga wake zetu hata kama watakuwa provocative kwa kiasi gani
 
kupiga mke si vizuri. wanaume yatupasa kjicontrol sana. najua kuna baadhi ya vitu vinakera. ila na nyie wanawake kuweni makini basi
 
Ni kweli sio chozi 2 hata masikitiko ya mwanamke humwadhibu mwanaume bila hata mwenyewe kujua..... So mjichunguze wababa.
 
Unakaa na wife mwaka mzima bila tumbata angalau tuwili.
!!! Matumizi mabaya ya madaraka kama kichwa cha familia.
 
Back
Top Bottom