Machozi ya Furaha

Machozi ya Furaha

Mkipendana halafu mkaishi kama mume na mke raha jamani, hadi ndoa utaiona tamu

Kusifia unapendwa kwa mashosti au washikaji huwa siyo vizuri lakini utajikuta unaropoka jamani mie mai waifu/hazibadi anipenda jamani
Chezea mahaba niueeee
 
Aouuuuu........ BelindaJacob.........am happy for you.........it feels good to be in love bana.........hebu pasua hiyo nut tuone ndani kuna nini............
 
Last edited by a moderator:
Mkipendana halafu mkaishi kama mume na mke raha jamani, hadi ndoa utaiona tamu

Kusifia unapendwa kwa mashosti au washikaji huwa siyo vizuri lakini utajikuta unaropoka jamani mie mai waifu/hazibadi anipenda jamani. Chezea mahaba niueeee


Habari ndo hiyo senti hamsini.
 
Back
Top Bottom