Usimwambafy wala usifurahie maana haichagui hiyoAkiri zimewakaa sasa!
Nadhani Dr Mpango ameamua makusudi kuiambia jamii kwamba Corona ni hatari , kaamua awe somo kwa wengine , kiukweli Dr Mpango pamoja na kutoka hadharani lakini naweza kusema kwa kadri ninavyoifahamu corona bado hajapona hata kwa 50% , ila uzalendo tu ndio umemfanya ajitokeze hadharani kuitahadharisha jamii .Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dr Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.
Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.
Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?
Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Kitu alichonifurahisha huyu mjomba wangu ni kuutambua mchango wa wataalamu wetu wa afya na kukubali kuwa kuna changamoto kubwa sana kwenye idara ya afya. La msingi zaidi ni kuona umuhimu wa kuongeza bajeti ya afya.Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dr Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.
Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.
Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?
Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Uashauri na machozi yake akamwambie boss wake jiwe,anayekana kwamba hakuna corona,Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.
Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.
Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?
Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
mwanasiasa akikwambia nje saizi mchana toka nje ukahakikishe usiamini kirahisi au nasema uongo ndugu zanguuuuuMzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Wewe uliamini, nakukumbuka vizuli sana!mwanasiasa akikwambia nje saizi mchana toka nje ukahakikishe usiamini kirahisi au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Mimi nilijua ile ni fix,sababu Jiwe anavyopenda sifa Mpango asingetuma sms bali angempigia simu kabisa na kuwekwa loudspeaker.Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Mlitupigia kerere na kutuona wajinga. Sasa ujinga wenu mmekua waporeUsimwambafy wala usifurahie maana haichagui hiyo
Chukua tahadhari na Muombe Mungu wako sana
Hakika umesema kweli, yuapenda sana kupiga simu. Alishindwaje kupiga simu?Mimi nilijua ile ni fix,sababu Jiwe anavyopenda sifa Mpango asingetuma sms bali angempigia simu kabisa na kuwekwa loudspeaker.
Wewe kweli ndio yule mjinga wao, ulipigiwa kelele na naniππππππMlitupigia kerere na kutuona wajinga. Sasa ujinga wenu mmekua wapore
Kuugua sio kufasikuona sababu ya kutoka hadharani. Vp muumba akimchuka leo?
Wewe hapo! Kweri mimi mjinga ndio ila sikua mjinga kumsikiliza mtuWewe kweli ndio yule mjinga wao, ulipigiwa kelele na naniππππππ
Kwa lipiπ π π
Umekua mjinga kwa kudhania kila mtu ni mjinga kama weweWewe hapo! Kweri mimi mjinga ndio ila sikua mjinga kumsikiliza mtu
Siasa za mitano tenaJe, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Kwahiyo hajakoma?Kweny hiyo video yeye na mkuu wa hospitali pamoja na daktari wake hawakuvaa barakoa π₯ Waaguzi wote walivaa barakoa
Upuuzi wa kujipendekeza kwa jiwe.
Ni hakika mimi ni mjinga lakini sijawahi kuwa mjinga kuwapotosha watu kwa kusikiriza ujinga wa mtu! Si urianzisha na Uzi kabisa wewe? Acha kujitoa ufahamuUmekua mjinga kwa kudhania kila mtu ni mjinga kama wewe