Tumbo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 284
- 347
kama ilivyo toka kwa wa Kenya.
WATANZANIA WATU WA AJABU ATI WANAITAMANI KENYA
Watz muache ujinga haya mnayoyaona kwa Kenya tumeyapigania kuna watu wamekufa kwa kwenda kwa Barabara kupinga udikteta na kudai katiba mzuri.
Nyie Na ujinga wenu ikatokea mutu akawaambia kuandamana kudai haki zenu ati mnamuwita mhaini na kumsema kuwa ati ataka kuwaua watoto zenu watakaoshiriki kwa maandamano, nyie endeleeni na ujinga wenu, yaani hamujielewi.
Ajabu hata wamasheria wenu kupitia Chama chao wakatangaza kugoma siku mbili na bado wakageukana, wakati Sisi huku madoktari wanafika miezi miwili kutaka haki na usalama wao kazini nyie hata hao wamasheria mnaowategemea kuzitetea haki zenu, hawawezi kuzitetea g zao, na bado mwawaita wamasheria!
Kenya sio saizi yenu, mtaendelea kujiita wabongo lakini hatumii bongo zenu!
Super Mario! [emoji523]
HAKI ikitendeka AMANI hutamalaki