Macho yanachekaa moyo unaliaaaa!!!!

Macho yanachekaa moyo unaliaaaa!!!!

Queen Horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
414
Reaction score
317
Macho yanachekaaa, moyo unaliaa
Macho yanachekaae,moyo unaliaa
Nikimkumbuaaa wangu maridhia,
Nikimkumbuuka wangu maridhiaa,
Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa,
Chozi hunitoka mie kwa zake tabia,
Baki na mashaka naanza kuliaaa,
Baki na mashakaa mie nalia naliaa..
 
Macho yanachekaaa, moyo unaliaa
Macho yanachekaae,moyo unaliaa
Nikimkumbuaaa wangu maridhia,
Nikimkumbuuka wangu maridhiaa,
Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa,
Chozi hunitoka mie kwa zake tabia,
Baki na mashaka naanza kuliaaa,
Baki na mashakaa mie nalia naliaa..

Good lyrics
 
utunzi ulikuwa zamani
siku hizi hamkani
tungo sizo mizani
si vina ubeitini
wala maana makini

ahhh umenkumbusha utunzi wa kina bhalo,maulid juma,shakila,malika,siti binti saad.
 
Back
Top Bottom