Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Hahahahaha lol!sasa unachukia nini Emmy? Mwenyezi Mungu kaumba neema zake na macho ya kushangaa uumbaji wake. Mungu hakukosea kuumba vyote hivyo na sisi wanaume ni lazima tushangae pale Mungu alipoamua kuumba neema. Kuna rafiki yangu mmoja yeye ana kona yake maalum ya kwenda kukaa kuangalia mawowo na anaweza kukaa hapo baada ya kazi masaa hata mawili anaangalia neema za Muumba wetu! Acha kabisa Emmy sasa kule Coco beach saa za jioni hasa siku za weekend na wenye kuja kuogelea. Wanaume ndivyo tulivyo! Iko kwenye damu hii 🙂🙂🙂
Nilijua tu BAK utasema iko kwenye damu mana mmh.
Vibaya hivyo ujue. Huyo rafiki yako mwambie namsalimia na itabidi nami nikijue hicho kijiwe aisee
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Walaa. Huenda ikawa nawewe nikijiwe chako nipate kukuona unavyosoma hayo matangazo.Hahahahaha lol! Unataka nawe ujipitishe kwenye hicho kijiwe Emmy!? Ushawahi kumuangalia mtu vibaya kwa kumfumania amegeuka na kuangalia mgongo wako?
Hata mie naona. [emoji23] [emoji23]Raha ya macho.....
Walaa. Huenda ikawa nawewe nikijiwe chako nipate kukuona unavyosoma hayo matangazo.
Hahaaa. Hata sijawahi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapana huo muda wa kuangalia migongo kwa masaa mawili sinao. Nilikuwa maeneo hayo najipitia nikaona migongo ya kufa mtu. Nikawa namhadithia nimepita mtaa huo na kuona neema si za kawaida ndipo aliponijuza kwamba yeye huweka makao pale karibu kila siku baada ya kazi hadi masaa mawili wakati mwingine ili tu kufurahia uumbaji wa Muumba.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haya bana mpe hongera zake.
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahaaaa. BAK naye kaamua kumuiga emmy kuweka kanyani. Lol.Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Emmy na kanyani kake [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]