Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Salaam wakuu.
Shida yangu mwaka 2014 nilifanya check up ya macho na kuambiwa nitumie miwani yenye lensi 3 X 5 na kwa sasa ni miaka miwili natumia miwani ila miwani yangu ilipo haribika nimebadilisha miwani na lens yake bila kupima macho tena.
Swali langu, je, unatakiwa uwe unapima macho mara kwa mara kwa ajili ya check up na kubadilisha lensi?
Najua mtanisaidia.