uuuuuuuuuh yeeeeeeeeeeeah! so sad jamani alipenda sana kusema uuuuh yeeeeah nakumbuka nwo wakati ule WCW akiwa na akina big sexy kevin nash, scot hall, hulk hogan, walitisha mnooo lkn four horsemen wakiongozwa na babu akina dean malenko na wengineo bila kumsahau STING walikuwa wanalala mbele dah RIP randy uuuuuuuuuuuuh yeeeeeeeah