Macho kumchuzi!

Macho kumchuzi!

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
hatari sana!! (sauti ya kipozeo):teeth:

Mkuu kashindwa kujizuia macho yote kwenye mugongo
 
Ni dadake huyo jamani. Sasa mlitaka aangalie wapi? We ukimkumbatia dadako huwa unaangalia wapi? Tena dada kaonyesha adabu kweli hakutaka kiuno chake kigusane na cha kakake...
 
Siyo huyo... angalia Kenyatta anachokitazama "down there"
 
Ni mwenyewe. Kuna picha zake uso unaonekana ntakuwekea. Huoni hata vishungi vyake vya rasta ni vile vile? Sema tu watu hamuishiwi maneno!

Hapa mmechanganyana kidogo. huyo anayekumbatiwa ni dadaye Obama sawa, ila anayeangalia mgongo wa huyo dada sio Obama ni Uhuru!
 
Ni dadake huyo jamani. Sasa mlitaka aangalie wapi? We ukimkumbatia dadako huwa unaangalia wapi? Tena dada kaonyesha adabu kweli hakutaka kiuno chake kigusane na cha kakake...

suala sio obama, ni uhuru na huyo jamaa mwingine pembeni ya dogo!
 
Shimba ya bunyenze inaonesha wazi katuni za kingo haujawahi kuangalia.
 
Last edited by a moderator:
Ni dadake huyo jamani. Sasa mlitaka aangalie wapi? We ukimkumbatia dadako huwa unaangalia wapi? Tena dada kaonyesha adabu kweli hakutaka kiuno chake kigusane na cha kakake...
Wenzio wanamzungumzia bwana Uhuru kuwa anaangalia mkia. we una mzungumzia Obama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom