min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,262
- 127,165
Haya kiimani ipoje twende kaziTwende tu kiimani. Sayansi huwa Haina majibu mengi na imejaa uongouongo sana. Kwa mfano kwamba mtu wa kwanza alikuwa nyani, 😏
Haya kiimani ipoje twende kaziTwende tu kiimani. Sayansi huwa Haina majibu mengi na imejaa uongouongo sana. Kwa mfano kwamba mtu wa kwanza alikuwa nyani, 😏
Bila shaka wewe ni mchagana vp kuhusu uhusiano uliopo kati ya mkono kuwasha (kiganja) na kupata pesa. Maana kwangu hiyo ni normal kabisa
Utaona mambo mapya na kuyaongeaMacho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini?
Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin
Au umekaa tu umetulia jicho linacheza je ni viashiria vya hali hatari
Jambo linaweza kuwa la kawaida tu ukilijengea imani kivingine linaweza kutokea , hiyo ni nguvu ya wazo , ubongo unaweza kukuletea kitu katika uhalisia wakati ni wazo tu
Hatua ya kwanza ni lazima uamini kuwa Yuko Aliyeziumba mbingu na nchi (ardhi) Akaviweka vinavyoonekana na visivyoonekana. Wewe waamini hayo??????Haya kiimani ipoje twende kazi
Nachagua kuto amini, Weka kwa faida ya membersHatua ya kwanza ni lazima uamini kuwa Yuko Aliyeziumba mbingu na nchi (ardhi) Akaviweka vinavyoonekana na visivyoonekana. Wewe waamini hayo??????
Jambo linaweza kuwa la kawaida tu ukilijengea imani kivingine linaweza kutokea , hiyo ni nguvu ya wazo , ubongo unaweza kukuletea kitu katika uhalisia wakati ni wazo tu
Turudi ndani ya mada huko nikiianza utatwetaunafahamu wazo huwa lina chanzo?
😄Nachagua kuto amini, Weka kwa faida ya members
Schoolmate unacheka?
Turudi ndani ya mada huko nikiianza utatweta
Kwenye ukoo wetu watu wamejenga imani mtu mkubwa , baba waboma akitaka kufa mifugo inakufa nahata ndizi inadondosha mtoto wake ghafla na huwa inatokea kweli .boss ulikuwa ukila mmea mitaa ya Masandare, sio? 🤭
Nakubaliana nawewe!Jambo linaweza kuwa la kawaida tu ukilijengea imani kivingine linaweza kutokea , hiyo ni nguvu ya wazo , ubongo unaweza kukuletea kitu katika uhalisia wakati ni wazo tu
Matusi bwashee jicho la tatu ni lipi😁Fungua jicho la tatu, hayo mawili yatatulia.....
Jicho linasuuzika hakuna hata chozi 🔥Kuna macho na kuna JICHO LA TATU.
JICHO LA TATU likicheza unatafuta MUWA mkubwaaa unaupiga mwingiii, ni mwendo wa juu chini, juu chini, juu chini, ukitoka hapo JICHO limesuuzikaaaa kwatuu unampa asante BAMTU!
Kama ni MACHO umerogwa na shangazi yako.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain
Kila kitu unachokiona , magari maghorofa na tenkonologia kubwa ni matokeo ya ubongo , yani wazo