Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,109
- 16,681
jana nilienda kununua parachichi la 500 nikaomba mfuko muuzaji akanambia hatoagi mifuko kwa vitu chini ya 1000.......sasa leo nimeenda kununua vocha ya 1000 nikaomba mfuko mpaka sasa bado ananikodolea macho sijui anataka kunipa mifuko miwili??
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]