Machizi fuleshi

Machizi fuleshi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1422124457379.jpg1422124475138.jpg
 
pole sana mkuu usijali tushikiriane kununua neti na kuzitumia kutokomeza huu ugonjwa

Asante sana Kill 3 lakini naamini kinga na tiba ya kudumu ya hili tatizo la ugonjwa wa malaria ni kuangamiza mazalia yake....japo kuna watu wananuna nikisema hivyo kwakuwa kwao malaria ni ajira ni maisha
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Kill 3 lakini naamini kinga na tiba ya kudumu ya hili tatizo la ugonjwa wa malaria ni kuangamiza mazalia yake....japo kuna watu wananuna nikisema hivyo kwakuwa kwao malaria ni ajira ni maisha
mkuu kwenye mapambano yoyote lazima utambue kuna wanafaidi hilo nakuunga mkono lakini tukiamua kutokomeza tunaweza kufaninikiwa mkuu sasa tunatakiwa kuandaaa mbinu za kuangamiza mazalia yote .
 
Sijaelewa, alitoboa katundu ku-ventilate?
cc Dk Pdidy.
 
Back
Top Bottom