Shikamoo watu wote mnao kula nyama aiseee! View attachment 720310View attachment 720310
Nimewala sana hawa kule clamart ufaransa, wako very deliciousChura anadeka deka chura. 😀
hahaha, nilisikiliza mafundisho ya Mwakasege, anasema alikuwa Madagsca kama sijakosea kwenye mikutano, chakula cha high table ilikuwa ni chura hahaha, alishindia mikate hadi aliporudi TanzaniaNimewala sana hawa kule clamart ufaransa, wako very delicious
Hahaha, angekula tu, niliwahi mla mamba pale carnivore nairobi enzi hizo, mbona nae mtamu tuhahaha, nilisikiliza mafundisho ya Mwakasege, anasema alikuwa Madagsca kama sijakosea kwenye mikutano, chakula cha high table ilikuwa ni chura hahaha, alishindia mikate hadi aliporudi Tanzania
Kumbe watz pia kuna wale ambao mmefika Carnii? 🙂Hahaha, angekula tu, niliwahi mla mamba pale carnivore nairobi enzi hizo, mbona nae mtamu tu