Machinjioni

Sara

JF-Expert Member
Aug 3, 2014
1,060
926
Shikamoo watu wote mnao kula nyama aiseee! maxresdefault.jpg
maxresdefault.jpg
 
Kutapika siwezi na kuacha kula sitaweza nikiiona kwenye jiko inatoa moshi jamani me naona sijui nyama za mbwa nalishwa sana
we jilie tu, wanasema kimwingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho!
 
Mimi nakula nyama yoyote ile ila tu usiniambie wakati wa kula hata ya MTU ikipita kwenye 18 yangu mi nababua tu uzuri wa tumbo halina kioo.
 
Back
Top Bottom