Machinjio kufungwa mashine maalum

Machinjio kufungwa mashine maalum

nasapoti hiyo kitu. tuachane kabisa na watu wa dini fulani tu ndio wachinje....au kama wanataka kuchinja basi wasipate ujira wala wasiondoke na hata kilo moja ya nyama....manake hilo ndo mojawapo ya tatizo....mchinjani hatoki mikono mitupu...hahahaha. ndo maana watu wametoa ndita wanaona wananyang'anywa tonge mdomoni.

kwa hiyo na nyie mlikuwa mnataka shingo
 
Tatizo liko pale pale kwani hawa wenzetu masharti yao katika kuchinja kwanza lazima awe ameva msuli bila chupi. Mashine haina hivyo vitu.
 
Kuna uwezekano mkubwa machinjio yote ya serikali kufungwa mashine maalum za kuchinjia wanyama za kuendeshwa na nguvu ya umeme. Hii ni kutokana na kushindwa kupata muafaka wa jambo hili.
Nawasilisha.

Nakumbuka baadhi ya nchi zilizoendela siku hizi hawachinji wanyama kwa kuwakata shingo, kwani wanasema ni ukatili kwa wanyama, bali huwaua kwa kuwadunga umeme. Sasa na hapa wataweka mashine ya aina hiyo?
 
kufungwa mashine za kuchinjia haitakuwa mara ya kwanza kwa hapa nchini kwani wakati wa kiwanda cha kusindika nyama cha Tanganyika packers kulikuwa na kitu kama hicho lkn kikiwa na dua ya kiislaam imeandikwa kwenye kile kisu yaaani BISMILLAH
 
Hakika hapa Kamanda wangu Mvaa Tai umenena! Na Mi binafsi nipo humo humo ila mpk hivi leo hatuna ajira!


Mi sidhani kama suala la kuchinja ni ishu kiasi hicho, suala la kuchinja liwe ni kazi kama kazi zingine watu waombe hiyo kazi na waajiriwe kama wanavyojiriwa watu wengine serikalini bila kujari dini ya mtu.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana japokuwa tumechelewa! Wale ndugu zangu wanaoendesha maisha yao kutegemea kuchinja itakuwaje??

nashauri hiyo tenda ya kuleta hizo machine apewe Riz1 ili kuondoa utata kwa wenzetu wa upande wa pili.
 
Hivi ukila kibudu au nyama iliyochinjwa na mtu wa imani tofauti na yako utaenda jehanamu?
 
Kwa staili hii hakika tunakaribia kuuliza na MCHICHA huu ulipandwa kuelekea wapi?:nono:
 
Kuna uwezekano mkubwa machinjio yote ya serikali kufungwa mashine maalum za kuchinjia wanyama za kuendeshwa na nguvu ya umeme. Hii ni kutokana na kushindwa kupata muafaka wa jambo hili.
Nawasilisha.

Ni wazo zuri je nani atakaye kuwa anawasha hiyo machine, mwislam au mkristu.
 
Hapana mie nshazoea kurudi nyumbani na firigisi pamoja na utumbo kama zawadi ya uchinjaji sasa watakapofanya hivyo watoto wangu watakosa kitoweo na hivyo kushindwa ku'attend madrasatul
 
Yesss,nilijuua toka mwanzo kuna kitu nyuma ya hili swala,watu wameshajihakikishia tenda za kuagiza na kufunga hii mitambo kwa fedha zetu walalaho(walipa kod)bora hizo fedha zingetumika katika shughuli nyingine za maendeleo,kwel watanzania tumefikia kutumika hivi?tuamke
 
Hapana mie nshazoea kurudi nyumbani na firigisi pamoja na utumbo kama zawadi ya uchinjaji sasa watakapofanya hivyo watoto wangu watakosa kitoweo na hivyo kushindwa ku'attend madrasatul

Kwa hiyo wagalatia mlilianzisha la kuchinja kwa ajili ya tamaa na choyo cha firigisi !? Chuki yenu iko wazi na hawala hamtaweza ! Uislaam ...utashinda dini zooote ! Hata mkinuna !
 
Kwa staili hii hakika tunakaribia kuuliza na MCHICHA huu ulipandwa kuelekea wapi?:nono:

Mchicha ulisha tii !

'Vilivyomo mbinguni na vilivyomo katika ardhi vinamtakasa Mwenyezi Mungu, Mfalme, Mtakatifu, Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Qur'an: 62:1.
 
Back
Top Bottom