hivi inawezekana shehe akachinja ng'ombe mzima alafu asiondoke hata na kilo moja au walau pesa za ujira? kama wanafanya ibada, kwanini watake na ujira? na kama kuna ujira, basi hiyo ni kazi kama kazi zingine tu ambayo haitakiwi kuwa ya kibaguzi wafanye watu wa dini fulani tu. hivi shehe anayepata nyama ya bure karibia kila siku au anapata hela, inawezekana akakubaliana na kuchinja kwa machine ili akose kipato hapo kweli?..na je, VIPI SIKU ZILE WANAZOGOMA KUCHINJA, MFANO MWANZA NA SINGIDA MWAKA JANA, HATA HAPA DSM WALISHAWAHI KUGOMA KUCHINJA, watu tukakosa nyama, ni kama utumwa fulani hivi wanatutumikisha kutufanya wapendavyo....mi naona mashine zije. na pale wafanye watu application za kazi kabisaaa, wapigwe interview watu wa dini zote na waajiriwe na taasisi ya uchinjaji tz,..sio kuachia watu wa dini moja.