Huu ni mpango ulikuwepo muda mrefu kabla ya makonda yeye kasimamia tu. Kimsingi hawajakatazwa bali wametakiwa wafuate taratibu zinazotakiwa ambazo ni kuwa ni kibali cha kampuni iliyotoa sinema husika na kulipia kodi nakala zote ambazo zitakuwa kwenye makubaliano. Kinachofanywa na wafanyabiashara wa movie za nje ni piracy kwa sab piracy sio lazima ziwe za ndani kuruhusu kuuzwa piracy nchini ni kukiuka mikataba ya kimataifa kulinda kazi za wasanii ambayo tanzania imeingia. Wameshindwa kutimiza mashart husika ndio wamefunga maduka kabla ya siku waliyopewa kama mgomo. Kuwapo kwa cd za nje za bei rahisi kunachangia sana kushuka kwa movie za nyumbani japo kuna changamoto nyingi ndani ya tasnia. Dunia nzima piracy hairuhusiwi tofauti ni utekelezaji tu. Kama unakumbuka defao alizimia alivyokuja tz miaka ya 90 na kukuta mwimbo wake mpya unauzwa kama njugu wakati hakuna kampuni yoyote nchini iliyoingia mkataba wa kusambaza mwimbo huo.
Hakuna hatua yoyote ya kimaendeleo ambayo haitaathiri upande mwingine tuvumilie na tusonge mbele kwa mfano ujenzi wa train ya umeme utaathiri mabus na malori je usitishwe?
Analazimisha kuingia kwenye headline!Kwanza hii issue haipo chini ya mamlaka yake sisi tumeingia kwenye free trade hili linatakiwa liwe addressed na mawaziri husika to mean waziri wa viwanda na biashara pamoja na waziri wa habari, utamaduni na. ... sio kazi ya mkuu wa mkoa
Walipe kodi na kufuata sheria ya anti piracyDaa nilion taarf ya ITV kuwa CD za nje zakatazwa kuuzwa nchini je hii ni haki has a kwa wajasiriamal wetu wadgwadgo??