Haya ndio mazao ya uoga na siasa za Yule jamaa aliekuwa hajiamini ktk uongozi wake .ni gharama kubwa mbaya ametuachia Hilo zao la wamachinga ni bomu litkapo ripuka itakuwa balaaa
Namna pekee ya hili kushinda ni wao wamachinga kuwa sehemu ya kudhubiti wenzao watakaokuwa wanavunja taratibu, kwa kushirikiana na vyombo vya sheria. Hawa wanatafuta riziki ila akili zao wanazijua wenyewe
Haya ndio mazao ya uoga na siasa za Yule jamaa aliekuwa hajiamini ktk uongozi wake .ni gharama kubwa mbaya ametuachia Hilo zao la wamachinga ni bomu litkapo ripuka itakuwa balaaa
Hao machinga wapo miaka nenda rudi na hakuna raisi aliweza kuwatoa
Tokea kipindi Cha mkapa Hadi Leo wakuu wa mikoa wote walichemsha, akina ditopile, makamba, wote hao walichemsha kwa machinga. Labda serikali itumie jeshi
wajenge bustani tu maeneo mengi so wamachinga wataondoka wenyewe tu tizama pale kuanzia jangwani hadi swiss tower wameanza kujenga viambaza machinga wote wamesepa na vibanda umiza vyao