MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa


Stay here
 
Waganga wanashirikiana na majini kuchukua taarifa za mtu, sasa sio kitu cha ajabu wao kupata hizo taarifa mkuu, tena wao huwa wanatizama yule unayemuhisi zaidi wanakwambia huyohuyo.
 
Hatari sana nakumbuka siku Moja tulienda shuhudia nyani anatolewa duarani mlipuko umemvunha mvunja hata kwenye kiroba hakujaa vizuri wale jamaa ni zaidi ya Boko haramu. Tz wakae wakijua kbx Kuna watu hatari sana waliopinda
Hahah nyangalata kulikuwa na hela sana so nyani walikuwa wanarisk kukaa kwenye fonka kujaribu bahati yao wakitoka hai.
 
Wale wataalamu wenyewe kama huyo wako huwa hawaongeagi uongo ni kwamba tu hauna access ya kuona matukio ya Rohoni.Katika kuhangaika kuna mtaalamu alinambia kuna wanawake umezaa nao wawili hapo sasa hao wanawake ukienda kurudiana nao unakwenda kupoteza uhai..akanisimulia matukio yao nikasema ni kweli 100% na nini kingetokea ningerudiana nao akaniambia..kwahiyo nabaki kulea mtoto alinambia nimeponea kwenye tundu la sindano.
Mambo ni Mengi nikileta historia hapa..ila usidharau broo ukiambiwa.
Achana na hawa matapeli.
 
Ndio Changamoto za maisha ya Wanaume hizo
 
Mkuu hili siwezi lishau kamwe... Na ni funzo kubwa sana Hadi Sasa siwezi muamini mtu kwenye kutafta Mali na pia Hilo lilinifanya niamin kumbe Kuna kafala wazi wazi .....
Pole sana mzebaba, ila uchawi bana, kwahyo hapo unakuta kile kiranga cha ww kuzama chini kuna kajini unatupiwa kakushawishi [emoji1][emoji1]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Mnazungumzia nyani nyani kweli au binadamu? [emoji28]
Kuna watu wanaitwa ma nyani ukisikia Hilo neno ogopa ni zaid ya Boko haramu. Wacha nikueleze kidogo....

Wale jamaa hawana duara maalumu wao kazi Yao nikuingia kwenye maduara ambayo Tyr yameshafika au Yana Mali Tyr hivo huvamia muda wowote hasa usiku wakiingia kazi Yao kupiga walinzi wa duara maalumu. Wakifika Wana wanakuoa salaam Shari au shwari mkuu ? Ukijibu shwari basi wataingia duarani kiroho safi kabisa wataokota Yale mawe yenye Mali tu wanaweka kwenye bob Marley (beg) ila ukijibu Shari hapo umetangaza vita wafe wao au ufe wewe Kwa kutumia zana za kuchimbia.

Kali ya yote Kuna Wakati duara(mwamba) inalipuliwa jamaa huzama hivohivo Hadi mlipuko unafanyika akiwa sehemu fln humo duarani kajibaza ni very risk but kufa hawawazi kabisa au mlipuko ukifanyika Bado Kuna vumbi wajamaa washazama kitambo.

Nadhani umeelewa ni jina maalufu sana migodini kusikia manyani na hawakoswi Hela.
 
Aisee, Mkuu shukrani sana kwa hivi visa, me nlijua nyani wanyama bana[emoji1][emoji1]

So hao jamaa inshort wao wapo migodini kuiba tu?

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Dah, noma sana mzee, btw hv hayo mashimo uwa na urefu gani kwenda chini? Na huwa yanachimbwa kwa mkono au mashine,? Na vp kuhusu hewa uko chini?

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Mashimo yanatofautiana urefu mara nyingi guitar mizamo (MITA) walisema mizami 15 yaani ni mzamo wa mtu mzima lkn mara nyingi inategemea tu hakipo kipimo maalumu yapo marefu sana na mafupi pia

Migodi midogo hakuna mashine ni mkono Kwa mkono mkuu.
 
Aisee, Mkuu shukrani sana kwa hivi visa, me nlijua nyani wanyama bana[emoji1][emoji1]

So hao jamaa inshort wao wapo migodini kuiba tu?

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Ndo kazi Yao kukua ni kawaida sana Ili wachukue mawe ya dhahabu.ukiona mgodi hawapo manyani Toka hapo hakuna Kila kitu
 
Mkuu kitu kikigota uhai usipuuzie Mimi nilitii haijarishi nilidanganywa au lah. Nashukuru nipo hai Hadi Leo na Nina mzidi jamaa mbali sana kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…