PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
- Thread starter
- #81
Ushauri mzuriiii huuWatu wa magharibi wamebobea sana kwenye ng'ana ni wezi sana, uwe tu makini wasikuwekee gololi za baiskeli kwenye dhahabu.

Machimbo vifo ni jambo la kawaida sana na kafara piaDada angu alikuwa na mmewe mtu wa machimbo Nikukumbuka huwa napata hasira ilibidi afe na mdogo wangu
Kwa maelezo Yao walijua Tyr muda wa kukishusha umefika Ili mawe yapandishweHapa nawaza kwa sauti tu, kile kiroba cha mchanga kilitokea wapi?, kunamtu alikutupia kwa makusudi au?.
Mungu ni mwema sana.
Ahsantee sanaPole sana...
Wanaume hatuchagui kazi. Heshima kubwa sana kwenu
Ni sitory ndefu nitafupisha.
Mnano mwaka 2019 Baada ya kazi za hapa na pale hasa kazi yangu pendwa ya kilimo Cha umwagiliaji (bustani) kukumbwa na ukame na kufanya mazao yangu hasa nyanya zaidi ya heka Moja kuharibika ikabidi nimcheki jamaa yangu Ambae ni mtoto wa shangazi yangu. Jamaa huyu ni mtu wa chimbo sana tukawasiliana vyema akanipa location kuwa yupo no2 karibu kabisa na mgodi wa Bulyanhulu (kakola) mwanaume nikajitosa kwenda akanipokea pale kakola stend.
Tukaenda Moja Kwa Moja bar Moja ilikuwa inaitwa Half London tukafanya unyama mwingi sana japo Mimi Si mtu wa maji sana tumetoka eneo Hilo sa7 usiku kuelekea site sio mbali sana mwendo kama wa dk10-15 Kwa pikipiki.
Baada ya kufika tukalala kambini hapo kusema kweli nilipokelewa vyema sana pale na wachama wenzake {Mchama manake watu walio anzisha Ile duara /shimo}
Kesho yake tukaenda site kabisa duarani mwenyeji wangu amabe ni binamu yangu akanitamburisha Kwa wenzake na kusema nitatoa kiingilio niwe Mchama kama wao yaani nisiwe naingia shimon au kutoa mawe Mimi niwe nasubiria gawio tu wanaochimba chini wengine na wanatoa toa wengine (kuzungusha kamba ya mawe au kunyonga "Rola")
Nikakubaliwa na kutoa kitita cha 600k kama kiingilio kazi ikaanza rasmi!.
Tukapiga job Mimi nikiwa nawasaidia wale wanaotoa mawe chini Kwa kutumia Ile kamba pichani
Maana wale hulipwa day to night inategemea na makubaliano mara nyingi Kwa siku walikuwa wanalipwaTsh7000.
Kesho yake nikaona isiwe tabu niingie chini namimi nikapige huko licha ya kuwa nchama nikaona si vibaya kuwapa kampan Wana. Nikashuka vizr tu Hadi chini Kwa kutumia kamba Hadi nikawakuta jamaa zetu wa4 nikawapa hi tukapiga story muda huo gunia la kubebea mawe likiwa juu (surface).
Nilkuwa na uzoefu wa Kiaina maana hata nyangalata niliwahi kwenda pale japo kazi kubwa nilikuwa na supply mchele kuutoa kahama kijijn nakoboa Hadi hapo nyangalata mwaka2012-2013.
Baada ya kukaa chini dk 39 hiv nikaanza kupanda Ili nitoke ile napanda Kwa kutumia matimba (Kingo za duara zinazo imarishwa na miti migumu Kila upande Angalia picha hapo chini miti hiyo ndo matimba sijui maeneo mengine wanaitaje).
Ile napanda nikasikia sauti ya lile roba au gunia likishuka Kwa kasi sana basi likanifikia na kunipitia mpaka chini (kumbka lile gunia Lina maji na mchanga ule mawe hivo ni zito pia) wanatumia magunia yale ya kamba za mkonge hivyo lilikuwa zito sana nilienda Hadi chini nikaanguka vibaya sana japo sikupata majeraha makubwa sana na fahamu sikupoteza. Ile nashuka niliona kifo kipo mlangoni kabisa kabisa na kipindi naanguka yule jamaa mmoja wa chini Ambae alikuwa hajajiweka vizr akijua ni gunia tu linashuka ndo ulikuwa msaada wangu mkubwa sana maana nilimwangukia yeye sehem ya kichwa changu..nilisikia maumivu sna na mwili ukawa Hauna nguvu Tena.
Kuna ishara fln Huwa wanatoa watu wa chini kama Kuna mtu anaitaji huduma ya chapu Huwa wanatikisa kamba hivyo jamaa akatoa then akapanda Hadi juu akiniacha na wezangu3 alipofika wakashusha gunia jamaa mmoja tukapandishwa nae Hadi juu.
Baada ya kufika taratibu za huduma ya kwanza zikaanza japo jamaa yangu muda huo hakuwepo alikuwa ametoka niliwakataza wasiwaambie watu wa nyumbani labda Hali ibadirike kabisa maana nilkuwa sijaaga mtu.
Matibabu nilipatiwa siku2 ya tatu nikajiona nipo good nikaaga kwanza jamaa bila hila akanitoa Tena 200k nikarudi home japo nilikuwa sijaimarika sana baada ya kufika home maumiv nilikuwa najisikia Bado hivo niliwambia wazazi kuwa Nina homa nikificha maana mzee alikuwa hataki kusikia issue za migodi midogo midogo hii.
Baada ya kuimarika kiafya Sasa nikamwelezea mama A to Z akaniambia niende Kwa mtaalamu kucheki japo sikuwa muumini sana nikamshirikisha yule jamaa yng akasema usiende nikawaida tu ajari kutokea hivo nikapuzia sikwenda
Jamaa akawa ananiambia Ile mifuko wamegawana Kila mmoja yke wapo walio saga mawe wakapata m9 wengine wameuza mifuko kama mifuko wakapata 4-6milioni nilitaman sana kurudi Tena kwenye chimbo Hilo ila nikikumbka ule mkasa naona Giza mbele nikarudi Kwa mama Tena kumwambia akasema nenda Kwa bibi yako ikabidi nitii. Safari Hadi Kwa bibi nikafika nikaeleza then tukahitimisha Kwa kumpigia simu mama. Haikuchukua muda akaitwa mjomba hao Hadi Kwa sangoma!
Huwezi amini jamaa aliniambia safari yangu ilivokuwa na vile nilivo pokelewa na jamaa tukanywa then tukaenda site kumbe jamaa yng alikuwa na lake jambo kuwa kama ningekuwa wangepa Hela za kutosha na duara Yao kuwaka sana akahitimisha kusema ukienda awamu hii hurudi mzima maana Tyr wameshajua walifeli wapi na usipoenda Kwa wiki2 Ile duara Ina buma na wataikimbia wenyewe.
Sikuamin nilichoambiwa Kwa ushirikiano wa jamaa kwangu ulikuwa mkubwa sana hivo ilibidi nimtii sangoma na kurudi pesa tuliyo toa pale ni buku2.
Nikrudi Hadi Kwa wazee nikakuta baba kaelezwa na mama asee mzee aliwaka sana Ile mbaya akasema jtano peleka ng'ombe3 mnadani uanze biashara yako Tena.
Picha ya kwanza ndo Mimi nimefika duarani ya pili ni jamaa yangu/ binamu yangu. Usimwamini ndg Yako kwenye masuala ya Mali wengi wamejaa tamaa na uchu wa Mali kukupoteza ni kawaida tu.
Heshima Kwa mama yangu.
The End.
View attachment 2820086View attachment 2820087
Waganga wanashirikiana na majini kuchukua taarifa za mtu, sasa sio kitu cha ajabu wao kupata hizo taarifa mkuu, tena wao huwa wanatizama yule unayemuhisi zaidi wanakwambia huyohuyo.Usemacho ni kweli kabisa mkuu bila shaka Kwa maelezo Yako unaufahamu mzuriiii kuhusu machimbo.
Ujue mkuu hata kama sio kweli issue ikigota uhai na Tyr Kuna ishara au tukio limekutokea ambalo ni Mungu tu ndo alinusuru hata kama niww sidhani kama ungerudi!
Ukizingatia hata wazazi hawakutaka daah mkuu nilitii sikurudi hata jamaa hakuongea uongo maana aliniambia vyote kwamba nilipokelewa nawa tu kadhaa akiwamo ndg yng tukaenda kunywa yaan maelezo kama Kuna mtu alimwambia story ilivokuwa jambo ambalo hata mama sikumsimulia kuwa walinipokea tukaenda kunywa maana hajui kama nakunywaga ...
Hahah nyangalata kulikuwa na hela sana so nyani walikuwa wanarisk kukaa kwenye fonka kujaribu bahati yao wakitoka hai.Hatari sana nakumbuka siku Moja tulienda shuhudia nyani anatolewa duarani mlipuko umemvunha mvunja hata kwenye kiroba hakujaa vizuri wale jamaa ni zaidi ya Boko haramu. Tz wakae wakijua kbx Kuna watu hatari sana waliopinda
Wale wataalamu wenyewe kama huyo wako huwa hawaongeagi uongo ni kwamba tu hauna access ya kuona matukio ya Rohoni.Katika kuhangaika kuna mtaalamu alinambia kuna wanawake umezaa nao wawili hapo sasa hao wanawake ukienda kurudiana nao unakwenda kupoteza uhai..akanisimulia matukio yao nikasema ni kweli 100% na nini kingetokea ningerudiana nao akaniambia..kwahiyo nabaki kulea mtoto alinambia nimeponea kwenye tundu la sindano.Usemacho ni kweli kabisa mkuu bila shaka Kwa maelezo Yako unaufahamu mzuriiii kuhusu machimbo.
Ujue mkuu hata kama sio kweli issue ikigota uhai na Tyr Kuna ishara au tukio limekutokea ambalo ni Mungu tu ndo alinusuru hata kama niww sidhani kama ungerudi!
Ukizingatia hata wazazi hawakutaka daah mkuu nilitii sikurudi hata jamaa hakuongea uongo maana aliniambia vyote kwamba nilipokelewa nawa tu kadhaa akiwamo ndg yng tukaenda kunywa yaan maelezo kama Kuna mtu alimwambia story ilivokuwa jambo ambalo hata mama sikumsimulia kuwa walinipokea tukaenda kunywa maana hajui kama nakunywaga ...
Mnazungumzia nyani nyani kweli au binadamu?Hahah nyangalata kulikuwa na hela sana so nyani walikuwa wanarisk kukaa kwenye fonka kujaribu bahati yao wakitoka hai.

Ndio Changamoto za maisha ya Wanaume hizoWanaume hatuchagui kazi. Heshima kubwa sana kwenu
Ni sitory ndefu nitafupisha.
Mnano mwaka 2019 Baada ya kazi za hapa na pale hasa kazi yangu pendwa ya kilimo Cha umwagiliaji (bustani) kukumbwa na ukame na kufanya mazao yangu hasa nyanya zaidi ya heka Moja kuharibika ikabidi nimcheki jamaa yangu Ambae ni mtoto wa shangazi yangu. Jamaa huyu ni mtu wa chimbo sana tukawasiliana vyema akanipa location kuwa yupo no2 karibu kabisa na mgodi wa Bulyanhulu (kakola) mwanaume nikajitosa kwenda akanipokea pale kakola stend.
Tukaenda Moja Kwa Moja bar Moja ilikuwa inaitwa Half London tukafanya unyama mwingi sana japo Mimi Si mtu wa maji sana tumetoka eneo Hilo sa7 usiku kuelekea site sio mbali sana mwendo kama wa dk10-15 Kwa pikipiki.
Baada ya kufika tukalala kambini hapo kusema kweli nilipokelewa vyema sana pale na wachama wenzake {Mchama manake watu walio anzisha Ile duara /shimo}
Kesho yake tukaenda site kabisa duarani mwenyeji wangu amabe ni binamu yangu akanitamburisha Kwa wenzake na kusema nitatoa kiingilio niwe Mchama kama wao yaani nisiwe naingia shimon au kutoa mawe Mimi niwe nasubiria gawio tu wanaochimba chini wengine na wanatoa toa wengine (kuzungusha kamba ya mawe au kunyonga "Rola")
Nikakubaliwa na kutoa kitita cha 600k kama kiingilio kazi ikaanza rasmi!.
Tukapiga job Mimi nikiwa nawasaidia wale wanaotoa mawe chini Kwa kutumia Ile kamba pichani
Maana wale hulipwa day to night inategemea na makubaliano mara nyingi Kwa siku walikuwa wanalipwaTsh7000.
Kesho yake nikaona isiwe tabu niingie chini namimi nikapige huko licha ya kuwa nchama nikaona si vibaya kuwapa kampan Wana. Nikashuka vizr tu Hadi chini Kwa kutumia kamba Hadi nikawakuta jamaa zetu wa4 nikawapa hi tukapiga story muda huo gunia la kubebea mawe likiwa juu (surface).
Nilkuwa na uzoefu wa Kiaina maana hata nyangalata niliwahi kwenda pale japo kazi kubwa nilikuwa na supply mchele kuutoa kahama kijijn nakoboa Hadi hapo nyangalata mwaka2012-2013.
Baada ya kukaa chini dk 39 hiv nikaanza kupanda Ili nitoke ile napanda Kwa kutumia matimba (Kingo za duara zinazo imarishwa na miti migumu Kila upande Angalia picha hapo chini miti hiyo ndo matimba sijui maeneo mengine wanaitaje).
Ile napanda nikasikia sauti ya lile roba au gunia likishuka Kwa kasi sana basi likanifikia na kunipitia mpaka chini (kumbka lile gunia Lina maji na mchanga ule mawe hivo ni zito pia) wanatumia magunia yale ya kamba za mkonge hivyo lilikuwa zito sana nilienda Hadi chini nikaanguka vibaya sana japo sikupata majeraha makubwa sana na fahamu sikupoteza. Ile nashuka niliona kifo kipo mlangoni kabisa kabisa na kipindi naanguka yule jamaa mmoja wa chini Ambae alikuwa hajajiweka vizr akijua ni gunia tu linashuka ndo ulikuwa msaada wangu mkubwa sana maana nilimwangukia yeye sehem ya kichwa changu..nilisikia maumivu sna na mwili ukawa Hauna nguvu Tena.
Kuna ishara fln Huwa wanatoa watu wa chini kama Kuna mtu anaitaji huduma ya chapu Huwa wanatikisa kamba hivyo jamaa akatoa then akapanda Hadi juu akiniacha na wezangu3 alipofika wakashusha gunia jamaa mmoja tukapandishwa nae Hadi juu.
Baada ya kufika taratibu za huduma ya kwanza zikaanza japo jamaa yangu muda huo hakuwepo alikuwa ametoka niliwakataza wasiwaambie watu wa nyumbani labda Hali ibadirike kabisa maana nilkuwa sijaaga mtu.
Matibabu nilipatiwa siku2 ya tatu nikajiona nipo good nikaaga kwanza jamaa bila hila akanitoa Tena 200k nikarudi home japo nilikuwa sijaimarika sana baada ya kufika home maumiv nilikuwa najisikia Bado hivo niliwambia wazazi kuwa Nina homa nikificha maana mzee alikuwa hataki kusikia issue za migodi midogo midogo hii.
Baada ya kuimarika kiafya Sasa nikamwelezea mama A to Z akaniambia niende Kwa mtaalamu kucheki japo sikuwa muumini sana nikamshirikisha yule jamaa yng akasema usiende nikawaida tu ajari kutokea hivo nikapuzia sikwenda
Jamaa akawa ananiambia Ile mifuko wamegawana Kila mmoja yke wapo walio saga mawe wakapata m9 wengine wameuza mifuko kama mifuko wakapata 4-6milioni nilitaman sana kurudi Tena kwenye chimbo Hilo ila nikikumbka ule mkasa naona Giza mbele nikarudi Kwa mama Tena kumwambia akasema nenda Kwa bibi yako ikabidi nitii. Safari Hadi Kwa bibi nikafika nikaeleza then tukahitimisha Kwa kumpigia simu mama. Haikuchukua muda akaitwa mjomba hao Hadi Kwa sangoma!
Huwezi amini jamaa aliniambia safari yangu ilivokuwa na vile nilivo pokelewa na jamaa tukanywa then tukaenda site kumbe jamaa yng alikuwa na lake jambo kuwa kama ningekuwa wangepa Hela za kutosha na duara Yao kuwaka sana akahitimisha kusema ukienda awamu hii hurudi mzima maana Tyr wameshajua walifeli wapi na usipoenda Kwa wiki2 Ile duara Ina buma na wataikimbia wenyewe.
Sikuamin nilichoambiwa Kwa ushirikiano wa jamaa kwangu ulikuwa mkubwa sana hivo ilibidi nimtii sangoma na kurudi pesa tuliyo toa pale ni buku2.
Nikrudi Hadi Kwa wazee nikakuta baba kaelezwa na mama asee mzee aliwaka sana Ile mbaya akasema jtano peleka ng'ombe3 mnadani uanze biashara yako Tena.
Picha ya kwanza ndo Mimi nimefika duarani ya pili ni jamaa yangu/ binamu yangu. Usimwamini ndg Yako kwenye masuala ya Mali wengi wamejaa tamaa na uchu wa Mali kukupoteza ni kawaida tu.
Heshima Kwa mama yangu.
The End.
View attachment 2820086View attachment 2820087
Pole sana mzebaba, ila uchawi bana, kwahyo hapo unakuta kile kiranga cha ww kuzama chini kuna kajini unatupiwa kakushawishiMkuu hili siwezi lishau kamwe... Na ni funzo kubwa sana Hadi Sasa siwezi muamini mtu kwenye kutafta Mali na pia Hilo lilinifanya niamin kumbe Kuna kafala wazi wazi .....

Hata sikujua yaani maana ilikuwa si lazima kabisa Mimi kuzama ni kiherehere tuPole sana mzebaba, ila uchawi bana, kwahyo hapo unakuta kile kiranga cha ww kuzama chini kuna kajini unatupiwa kakushawishi
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Nyani aliingiaje tena mkuu?Hatari sana nakumbuka siku Moja tulienda shuhudia nyani anatolewa duarani mlipuko umemvunha mvunja hata kwenye kiroba hakujaa vizuri wale jamaa ni zaidi ya Boko haramu. Tz wakae wakijua kbx Kuna watu hatari sana waliopinda
Dah, noma sana mzee, btw hv hayo mashimo uwa na urefu gani kwenda chini? Na huwa yanachimbwa kwa mkono au mashine,? Na vp kuhusu hewa uko chini?Hata sikujua yaani maana ilikuwa si lazima kabisa Mimi kuzama ni kiherehere tu
Kuna watu wanaitwa ma nyani ukisikia Hilo neno ogopa ni zaid ya Boko haramu. Wacha nikueleze kidogo....Mnazungumzia nyani nyani kweli au binadamu?![]()
Kabisa wajapani wanasema UnkwepableNdio Changamoto za maisha ya Wanaume hizo

Aisee, Mkuu shukrani sana kwa hivi visa, me nlijua nyani wanyama banaKuna watu wanaitwa ma nyani ukisikia Hilo neno ogopa ni zaid ya Boko haramu. Wacha nikueleze kidogo....
Wale jamaa hawana duara maalumu wao kazi Yao nikuingia kwenye maduara ambayo Tyr yameshafika au Yana Mali Tyr hivo huvamia muda wowote hasa usiku wakiingia kazi Yao kupiga walinzi wa duara maalumu. Wakifika Wana wanakuoa salaam Shari au shwari mkuu ? Ukijibu shwari basi wataingia duarani kiroho safi kabisa wataokota Yale mawe yenye Mali tu wanaweka kwenye bob Marley (beg) ila ukijibu Shari hapo umetangaza vita wafe wao au ufe wewe Kwa kutumia zana za kuchimbia.
Kali ya yote Kuna Wakati duara(mwamba) inalipuliwa jamaa huzama hivohivo Hadi mlipuko unafanyika akiwa sehemu fln humo duarani kajibaza ni very risk but kufa hawawazi kabisa au mlipuko ukifanyika Bado Kuna vumbi wajamaa washazama kitambo.
Nadhani umeelewa ni jina maalufu sana migodini kusikia manyani na hawakoswi Hela.

Mashimo yanatofautiana urefu mara nyingi guitar mizamo (MITA) walisema mizami 15 yaani ni mzamo wa mtu mzima lkn mara nyingi inategemea tu hakipo kipimo maalumu yapo marefu sana na mafupi piaDah, noma sana mzee, btw hv hayo mashimo uwa na urefu gani kwenda chini? Na huwa yanachimbwa kwa mkono au mashine,? Na vp kuhusu hewa uko chini?
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Ndo kazi Yao kukua ni kawaida sana Ili wachukue mawe ya dhahabu.ukiona mgodi hawapo manyani Toka hapo hakuna Kila kituAisee, Mkuu shukrani sana kwa hivi visa, me nlijua nyani wanyama bana
So hao jamaa inshort wao wapo migodini kuiba tu?
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Mkuu kitu kikigota uhai usipuuzie Mimi nilitii haijarishi nilidanganywa au lah. Nashukuru nipo hai Hadi Leo na Nina mzidi jamaa mbali sana kimaendeleoWale wataalamu wenyewe kama huyo wako huwa hawaongeagi uongo ni kwamba tu hauna access ya kuona matukio ya Rohoni.Katika kuhangaika kuna mtaalamu alinambia kuna wanawake umezaa nao wawili hapo sasa hao wanawake ukienda kurudiana nao unakwenda kupoteza uhai..akanisimulia matukio yao nikasema ni kweli 100% na nini kingetokea ningerudiana nao akaniambia..kwahiyo nabaki kulea watoto alinambia nimeponea kwenye tundu la sindano.
Mambo ni Mengi nikileta historia hapa..ila usidharau broo ukiambiwa.
Achana na hawa matapeli.