MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

Sangoma alisema mizumu yangu ndo ilikuwa na nguvu sana
Waganga wanaongea ukweli asilimia 10 na uongo asilimia 900% amini nnachokwambia huyo ndugu yako alikuwa na makusudio mazuri ya kukusaidia, na hiyo ilikuwa ajali tu wewe ndio hukuchukua tahadhari ukapanda bila kuwasiliana na watu wa juu, wakufahamishe kuwa durunganya limeshafika nje au laa.
 
Kweli shimo lilibuma baada ya wewe kutorudi week 2
 
Sema nao jamaa walikuwa na maksudi tuu ... unamwachaje mgeni apande wakati kiroba hakijafika juu ... alitakiwa akae station..(fonka).

Those days....mwabomba,Nyakasaluma,Mwime,Nyangalata, Bukandwe,Nyakafuru,Nyakahula...
Mkuu ndiyo hivo Yale ni makusudi
 
Usemacho ni kweli kabisa mkuu bila shaka Kwa maelezo Yako unaufahamu mzuriiii kuhusu machimbo.
Ujue mkuu hata kama sio kweli issue ikigota uhai na Tyr Kuna ishara au tukio limekutokea ambalo ni Mungu tu ndo alinusuru hata kama niww sidhani kama ungerudi!

Ukizingatia hata wazazi hawakutaka daah mkuu nilitii sikurudi hata jamaa hakuongea uongo maana aliniambia vyote kwamba nilipokelewa nawa tu kadhaa akiwamo ndg yng tukaenda kunywa yaan maelezo kama Kuna mtu alimwambia story ilivokuwa jambo ambalo hata mama sikumsimulia kuwa walinipokea tukaenda kunywa maana hajui kama nakunywaga ...
 
Maduara ya nyangalata yameenda sana, nnachokumbuka ni wale vijana manyani walivyokuwa wanachanganywa na moto wakati wa kublast.
Hatari sana nakumbuka siku Moja tulienda shuhudia nyani anatolewa duarani mlipuko umemvunha mvunja hata kwenye kiroba hakujaa vizuri wale jamaa ni zaidi ya Boko haramu. Tz wakae wakijua kbx Kuna watu hatari sana waliopinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…