PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,209
- Thread starter
-
- #21
Mwime nilifika pia mwaka2017Haya ndo mambo ya mwime
Uchimbaji mdogo ni mgumu sana
Acha tu wachimbaji tutumie hela yetu kwenye vikojoleo tu na pombe mauza uza ni mengi sana
Mwime nimepiga sana kazi kuanzia area d, Zanzibar, Dodoma ndo nimekaa sana jiran kabsa na duara la mkono wa bwana had kule juu kwa mama nakioHaya ndo mambo ya mwime
Uchimbaji mdogo ni mgumu sana
Acha tu wachimbaji tutumie hela yetu kwenye vikojoleo tu na pombe mauza uza ni mengi sana
Mwime na kanegere had bumbiti nimefikaHahaha chimbo Gani Hilo mkuu?
Tunaomba uendelee kutusimulia iliishaje wewe na binamu Yako?Mkuu duara Zina tofautiana Moja Hadi nyingine Kuna sehem kabisa ya kama ka chumba fln kadogo ni ngumu kuelewa kama hujaingia duarani hako ndo Huwa Wana kaa Wakati gunia linashuka na Huwa linakuja likigonga side Hadi side Kwa kasi so mara nyingi hukaa hivo. But Kuna wengine wabishi tu anakaa pembeni kidogo na ndicho kilichotokea Kwa jamaa huenda tu ilikuwa hivo Ili nipone ..kumbuka unaposhuka huendi direct unaenda unajipigiza kwenye Kuta za shimo (kugologosha) ni ngumu kuelezea mtu asiyewahi kushuka humu ila Kwa taswira ndo hivo
Wewe Sasa hutofautiani na jamaa yng asee yeye akisikia tu pamewaka sehemu fln huyooooMwime nimepiga sana kazi kuanzia area d, Zanzibar, Dodoma ndo nimekaa sana jiran kabsa na duara la mkono wa bwana had kule juu kwa mama nakio
Hatarimh sio poa
Nyangalata hukufika kulikuwa na mshiko Nje Nje paleMwime na kanegere had bumbiti nimefika
Mkuu Kwa sababu ni mambo ya mganga kwakweli ilibidi niwe mbali nae tu Hadi ukaribu ukapotea saivi imebaki udungu tu japo Huwa namtania (yeye na jamaa wengine maana walikuwa kama 9 kati Yao baadhi tunajuana na Huwa tunaonana) Kwa kumwambia mlitaka mniue Ili mtajirike yaani namwambia Kwa njia ya utani Hadi Sasa tupo mbalimbali sana tofauti na zamanTunaomba uendelee kutusimulia iliishaje wewe na binamu Yako?
Wakati nafika ndo nyangarata inakata nimechat hizo mambo mwaka huu huu kuna nyamishiga pia paliwaka ila sikwenda mieNyangalata hukufika kulikuwa na mshiko Nje Nje pale
Nyamishega hata Mimi sijawahi enda nimekuta nipo busy na kazi japo jamaa alienda saivi yupo mgusuWakati nafika ndo nyangarata inakata nimechat hizo mambo mwaka huu huu kuna nyamishiga pia paliwaka ila sikwenda mie
Pale nyangalata kulikuwa na gest ilikuwa inaitwa hata shetani anashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]Wakati nafika ndo nyangarata inakata nimechat hizo mambo mwaka huu huu kuna nyamishiga pia paliwaka ila sikwenda mie
Najipanga nikiamua kurudi huko nitaenda kama kota tena sitonunua mawe nitanunua dhahabu yenyeweNyamishega hata Mimi sijawahi enda nimekuta nipo busy na kazi japo jamaa alienda saivi yupo mgusu
Kwa hakika Kila mmoja na mateso yakeWanaume tumeumbwa mateso kuhangaika
SawasawaNajipanga nikiamua kurudi huko nitaenda kama kota tena sitonunua mawe nitanunua dhahabu yenyewe
😂😂Pale nyangalata kulikuwa na gest ilikuwa inaitwa hata shetani anashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakweli hapo shetani lazima ashangae [emoji38][emoji38]