Machimbo ya mawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machimbo ya mawe

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ambadede Kilala, Apr 1, 2010.

 1. A

  Ambadede Kilala New Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!!
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli Tanzania ndiyo tumefikia huku?unamanisha mawe kama mawe au madini?

  Kama ni mawe basi tanzania hatuko serious kabisa na suala la mazingira.halafu tunayapeleka nje ya nchi?let me hope sijaelewa
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mawe gani mkuu?au milima inahamishiwa?
   
Loading...