Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Price Range | Ya bidhaa husika kwenye Chimbo husika | Sababu kariakoo ya sasa inakuhitaji uwe unajua Price range kabla, ili mnunuzi uwe salama.Je, ni nini kinakosekana hapo juu? Unahisi unaweza kuhitaji details zipi za chimbo ambazo hazipo hapo juu?
Asante sana kwa hilo. Aisee, sikufikiria in that direction. Enhe, na process unaionaje?Price Range | Ya bidhaa husika kwenye Chimbo husika | Sababu kariakoo ya sasa inakuhitaji uwe unajua Price range kabla, ili mnunuzi uwe salama.
Na pia, unapendekeza kuwa tuwe na bidhaa zote anazouza mfanyabiashara, or tu target bidhaa muhimu?Price Range | Ya bidhaa husika kwenye Chimbo husika | Sababu kariakoo ya sasa inakuhitaji uwe unajua Price range kabla, ili mnunuzi uwe salama.
Hili nalifahamu. Ila, USP (Unique Selling Point) ni hii hapa:Ok ok, kuna uzi wa kitambo sana huku watu walitaja machimbo mengi for free.
Asante mkuu. Unapendekeza sh. ngapi kwa chimbo moja?Idea nzuri charge's zako zinatakiwa ziwe rafiki sana ni hayo tu kwa sasa
Hii ndo failure ya plan hii. Atafeli vibaya sana jamaa. Watu wengi hawafanyi intensive research. Jamaa awe makin sana mana utapeli uko nje nje kupitia hili. Na mbaya zaidi ili iwe na mantiki lazima iweze kufikia highest level of customer satisfactions. Mana walengwa wake wakubwa ni watu wanaotoka remoteness areas.Bidhaa nyingi zilizokuwa zinafatwa kariakoo sasa hv mikoani zipo labda utofauti wa bei na utakuwa ni mdogo sana!!
Mfanyabiashara mdogo utoke mkoani ulipie nauli,chakula,malazi,mizigo ni hasara
We jamaa unapatikana mkoa gani ili nione how best you think to implementHili nalifahamu. Ila, USP (Unique Selling Point) ni hii hapa:
1. Binafsi katika pitapita zangu, nimegundua that the information is very redimentary/basic. Sawa, utapata jina la biashara na namba ya simu, lakini you still don't have a taste ya biashara unayotaka ku-engage nayo.
2. Biashara hubadilika, na location huchange. kwa mfano, watu huhama, na hufunga biashara, na information hubadilika sana. Our initiative itasaidia kukeep information ya machimbo current, fresh and up-to-date.
3. Our information is comprehensive, specific, targeted and on-demand. Nikitaka viatu, napata information about viatu, and the latest info for that matter. Na pia kuwa na link ya mtandao ambapo bidhaa za duka zipo posted. Nikija next month, ntakuta data imetanuka kwa sababu tunareserch na kuongeza machimbo kila kukicha. Tunatumia wadau mbalimbali, bila kutegemea uzoefu wa mtu mmoja tu.
4. Tunasikiliza wateja na kutafuta machimbo kulingana na wanachokitafuta wao. In that case, basi product inakuwa kwa manufaa ya mtafutaji mmoja mmoja. Tunajenga mfumo na mtandao, sio kuhabarisha tu.
Niko Morogoro mkuu. Ila implementation plan ndo hiyo. Kuwa free kuikosoa hapa, kwa faida ya wengine pia. Ila, kama unataka mawasiliano zaidi, namba ni 0742308110We jamaa unapatikana mkoa gani ili nione how best you think to implement
It can't work safely. Unless wafanyabiashara walipe kwake ili awanunulie yeye awatumie mana kuna dogo aliwahi Fanya pilot ya hii akafeliPrice Range | Ya bidhaa husika kwenye Chimbo husika | Sababu kariakoo ya sasa inakuhitaji uwe unajua Price range kabla, ili mnunuzi uwe salama.
So what you think on the customer satisfaction? Unajua bei zinapanda na kushuka?. Customer kalipia kapata namba then akatapeliwa.. utafanyaje kumsaidia?Niko Morogoro mkuu. Ila implementation plan ndo hiyo. Kuwa free kuikosoa hapa, kwa faida ya wengine pia. Ila, kama unataka mawasiliano zaidi, namba ni 0742308110
Unajua utofauti wa bidhaa zilizopo na ubora wake?. Mm nimefanya biashara y uwinga kariakoo kwa muda wa miaka kama miwili hivi.Niko Morogoro mkuu. Ila implementation plan ndo hiyo. Kuwa free kuikosoa hapa, kwa faida ya wengine pia. Ila, kama unataka mawasiliano zaidi, namba ni 0742308110
Swali zuri. User discretion. Kuna haja ya kujiridisha na unayenunua kwake. Tutafanya our best kujaribu kupata details za kutosha kuhusu kila chimbo. Hata hivyo, tunafahamu kuwa ubinadamu upo, na kuna vigezo fulani vinapaswa kutumiwa kujiridhisha.So what you think on the customer satisfaction? Unajua bei zinapanda na kushuka?. Customer kalipia kapata namba then akatapeliwa.. utafanyaje kumsaidia?
S
Swali zuri. User discretion. Kuna haja ya kujiridisha na unayenunua kwake. Tutafanya our best kujaribu kupata details za kutosha kuhusu kila chimbo. Hata hivyo, tunafahamu kuwa ubinadamu upo, na kuna vigezo fulani vinapaswa kutumiwa kujiridhisha.
Tutaweka verification badge at some point, na kuruhusu user reviews and ratings za machimbo ili wateja wapya wanapokuja waweze kujudge chimbo from past experience za wanunuzi waliotangulia.
Nahisi that's all we can do.
He cant do the best ,kama hayuko tayari kujifunza kwa walioshindwa. Kama anabisha aingie ground mana Hana tofauti na alibaba. Hii ni local alibaba tu.Hili wazo litapigwa vita na mawinga kuliko kawaida. Jipange piga kazi tu
Huyu ni local alibaba. Anakatiza katikati ya mteja na mfanyabiashara. Potential clients wake ni new traders only mana hawatakuwa na haja ya kutoka huko walipo kuja dar. Hao wengine wote wana wauzaji wao wanaowaamini. Na Huyu atajibu maswali ya machimbo ya kweli ambayo hayajitangazi... Mm sikubaliani nae anasema atoe namba tu plan iishie hapo! Ni big failure sabab hata kelvin kibenje anatoa hizo nambaKwa nilivyoelewa bidhaa yako wewe unayouza ni 'information'. Na unaiuza sababu info hizo ni scarce.
Wafanyabiashara wakiamua kujitangaza wao wenyewe moja kwa moja kwa mteja, we hapo utakuwa unauza nini?
Unatambua kwamba mawinga ni washindani wako kwenye hilo wazo? Tofauti yao ni kwamba wao wanalink ya wateja wachache (idadi kadhaa) na wakati mwingine mawinga wananunua mzigo, wanafunga na kumtumia mteja ambae yuko sehemu yoyote Tanzania. Hapa kuna creation kubwa ya value kwa customer. Wewe uta offer nini cha ziada kushindana na mawinga?
Nikiangalia mfumo wa Alibaba unawezekana na kuendelea kuwepo sababu amejitahidi kuweka vitu kama trade assurance kwa consumer so usalama wa bidhaa, quality na hela humfanya consumer aendelee kutumia huduma yao.